Ndo maana nasema una matatizo kwenye akili yako....umesahau tunachobishania...haaa haaa haaa haaaa kazi kweli kweliusiwaingize intel kwenye sintofahamu yako kama kitu hujui usiwasingizie intel. nimekwambia uonyeshe sehemu intel aliotoa claim kuwa xeon ni bora kwa games au kitu chochote nilichosema post ya kwanza umeshindwa kuthibitisha. nimekupa sababu kwanini i7 6700k ni bora kuliko xeon yoyote kwenye matumizi ya kawaida pia umeshindwa kuzipinga hizo sababu, umekazania intel wamesema hivi mara wamesema vile tupe link mkuu na ushahidi kuwa intel kweli wamesema hayo maneno na sio wewe umeyatunga kichwani.
Haaaa haaa haaaa soma kwanza ndo ujibu so unakurupuka tu....unajua tunachobishania?MTOTO WA KUKU embu acha ubishi usi na maana umeambiwa leta link hapa unashindwa nini sasa kutetea hoja unakuja Na personal attack kwa watu humu? Thibitisha hoja yako basi au akili zako ni Sawa na mtoto wa kuku? Maana hata kuku anakuzidi akili kwa Hali hiyo
Mkuu Achana kubishana Na MTOTO WA KUKU Hana hoja anabaki kuku provoke tuusiwaingize intel kwenye sintofahamu yako kama kitu hujui usiwasingizie intel. nimekwambia uonyeshe sehemu intel aliotoa claim kuwa xeon ni bora kwa games au kitu chochote nilichosema post ya kwanza umeshindwa kuthibitisha. nimekupa sababu kwanini i7 6700k ni bora kuliko xeon yoyote kwenye matumizi ya kawaida pia umeshindwa kuzipinga hizo sababu, umekazania intel wamesema hivi mara wamesema vile tupe link mkuu na ushahidi kuwa intel kweli wamesema hayo maneno na sio wewe umeyatunga kichwani.
Kimsingi huna hoja umemuuliza maswali yako ameyajibu yote mbona ya kwake hutaki kuyajibu? Umekomaa INTEL, INTEL... sasa leta link ya hao INTEL um prove wrongHaaaa haaa haaaa soma kwanza ndo ujibu so unakurupuka tu....unajua tunachobishania?
Tufanye wewe ndio unajua na umeshinda.Nyinyi ndo hamna hoja mnakurupuka kuchangia huku hamjui tunachobishania....
Wewe ndo kelele unakurupuka kuchangia hali hujui tunabishania nini....nyinyi ndo hamna mnalolijua kazi kuongea ongea tu vitu vya uongo....nasimamia ninachokiamini ndo maana nabishanaHamna kitu hapa huyu kelele tu kichwan 0
Kuna Mambo Mawili Hapa Mtoto Wa Kuku.Narudia swali......kwani wewe na wenyewe intel wanaotengeneza hizi processor nani anajua zaidi?
Haaaaa haaaa haaaa duh....na wewe ndo ulivyoelewa?Kuna Mambo Mawili Hapa Mtoto Wa Kuku.
Either Hujui Kuhusu Hizi CPU Au Umeelewa Vibaya.
Vivyo Hivyo Leta Mchango Wa Kitaalamu Kama Mwenzako Badala Ya Kumtupia Maneno Ya Dharau Ambayo Yanaonyesha Wazi Kwmb Unamdhohofisha Kwa Kumdharau Na Si Kwa Hoja.