Intel core i7_2630QM

Habar wanajf naomba mwenye kujua kiundani kuhusu hio processor kua iko vizuri kwa upande wa speed? Na pia hizo herufi QM zinamaanisha nini?
Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
From chief mkwawa post
"MQ- herufi hii inamaanisha hio procesor ni quad core. Kama umesoma vizuri juu i5 na i7 za desktop ni quadcore lakini za laptop ni dualcore, hivi processor hii inamaanisha unaweza tumia quadcore kwenye laptop yako kama unataka mfano i7-4900MQ"
 
Habar wanajf naomba mwenye kujua kiundani kuhusu hio processor kua iko vizuri kwa upande wa speed? Na pia hizo herufi QM zinamaanisha nini?
Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
Corei7-2630QM ni Intel processor yenye CPU speed 2.9GHz
QM;
Q= Quad Core processor(yaani ndani Kuna CPU/die nne)
M= Mobile

NOTE: unaweza kukutana na corei7-2630M hii ni duo core(ndani in CPU mbili) so kujua kwamba processor ni quad always angalia Kama ina Q .

Short as it's.
 
Mbona hii ina 2.0 ghz? Au kuna uwezekano wa ku-unlock ifike 2.9 ghz?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hii ina 2.0 ghz? Au kuna uwezekano wa ku-unlock ifike 2.9 ghz?

Sent using Jamii Forums mobile app
Turbo technology inapanda na kushuka tegemea na thermal technology ya laptop. Kama inapoza vizuri muda mwingi itakaa karibu na hizo clock ila kama inapata joto sana haitafikia hio 2.9ghz.

Pia kuongezea ni cpu nzuri japo ya zamani ila gpu yake ni ndogo sana, most of time utakuwa limited na software zinazohitaji graphics iwe kubwa mfano gaming.
 
Duuh kwaio fifa au pes siez cheza mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom