Internet-Money
JF-Expert Member
- Apr 20, 2021
- 625
- 1,334
100 MB iuzwe kwa Elfu 10Kwani mnatakaje..
iiuzwe kwa elfu ishirini ili tujulikane nani akina Freemason na nani ni akina mganga wa kienyeji..😁100 MB iuzwe kwa Elfu 10
Itapendeza zaidi
Alafu sh 10 ya Kenya, Ni sh. 200 ya TZ,Ukipiga sana kelele utaambiwa bei ya intanet TZ ni ndogo kuliko Kenya...
50,000 itapendeza zaidi, dr shikaiiuzwe kwa elfu ishirini ili tujulikane nani akina Freemason na nani ni akina mganga wa kienyeji..😁
Hapo sijui tuseme nani anaupiga mwingi kati yaJana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache...
Wasanii wa Tanzania wajiandae kuuza madafu maana mitandao ikipanda bei ndiyo mwisho waoJana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache. Yote haya Ni kwa sababu upinzani wa Rais upo mtandaoni...
Upo sahihi, mitandao ya mawasiliano kama ilivyo mafuta imekuwa sehemu ya kujikusanyia tozo kwa hii serikali ambayo inaamini katika kuendesha uchumi wa tozo.Tatizo ni serikali iliingilia ndo maana zikapanda.
Zamani ilikuwa kila mtu anaweza la kwake, kwa sasa wamebanwa kama wauza mafuta
Hili ni kapeti la nyumba ipi mkuu?!Habari za chini ya kapeti ni kwamba .....sababu ni mbili moja
1)kutafuta pesa ya kulipa mishahara mipya
2)kufunga watu midomo na masikio ya kwenye mitandao ili wasijue kinacho endelea maana mama hakubaliki hata chembe na raia wema yeye anakubalika na mafisadi tu
TUNAISOMA NAMBA CCM MBELE KWA MBELEJana, nimenunua 640 MB kwa sh. 1000 lakini kuamka asubuhi 350 MB Ni kwa hiyo 1000. Kwa hiyo gharama imepanda mara mbili ndani masaa machache. Yote haya Ni kwa sababu upinzani wa Rais upo mtandaoni.
Hili balaa lilianza Baada ya huyu Rais kuingia madaraki. Kutokana na kusemwa sana akaanza kupandisha virushi.
Enzi za Magufuli kwa sh. 500 unapata 1GB - 500 mb , na alisisitiza sana taasi za serikali kuhamia mtandaoni.
Hii ilichangia ongezeko la internet users.
Madhara ya kupunguza watumiaji wa intaneti Ni makubwa :-
Kuwa na lundo la wasomi wasioendana na kasi ya duniani (wasomi wa vitabu).
Uhaba wa ma-programmer
Mifumo itakuwa ni analog
Hivi Leo Kuna watu ni matajiri kutokana tu na kucheza game online, (Ninja).
We Zombie,Wewe pandisha tu bei, tufidie hasara,