Inta Umri - You are my life...!

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
57
...Your eyes took me back to my bygone days, they taught me to regret the past and its pain... all I saw before my eyes saw you it's a lifetime wasted… how can they count it on me? Inta umri - you are my life…! (Inta umri -Umm Kulthum)

Wapendwa si vibaya ukamnong'oneza mwenzi wako maneno kama haya...kwa kweli yanahamasisha! Maneno haya yasiishie kipindi cha kampeni tu inapendeza yakiwa endelevu...



Annina
 
Asante MziziMkavu, kweli ya kale ni dhahabu


Annina
 
mhhh......mzima wewe......


Mzima kabisa...habari za nyama chobis...nasikia wikiend kuna mambo ya kukemea uzee hapo, ngoja nijipange cant wait any longer lol!

BTW mbona umeguna hapo juu vipi, hii maneno ya wakubwa haipandi?


Annina
 
Umm Kulthoum is an Arabian (Egyptian) musician..a very famous singer... died in 1975...

Annina thank u for confusing ppl... (what the hell were u thinking? lol ) i mean nobody can enjoy the music unless they understand the words
 
Umm Kulthoum is an Arabian (Egyptian) musician..a very famous singer... died in 1975...

Annina thank u for confusing ppl... (what the hell were u thinking? lol ) i mean nobody can enjoy the music unless they understand the words


Noname asante kwa kunisaidia kufafanua. Kama alivyosema Noname, Umm Kulthum ni mwanamuziki mkongwe na anaheshimika sana Egypt, Inta Umri ni jina la moja ya nyimbo zake zenye ujumbe mzito wa kimapenzi. Mniwie radhi kwa confusion... lakini sasa You Tube kuna translation hata kama sio rasmi nadhani itasaidia wasioelewa lugha hiyo mbali na kuburudishwa na sauti nzuri ya mwanamama huyo, wataweza pia kupata ujumbe uliokusudiwa.


Annina
 
lakini sasa You Tube kuna translation hata kama sio rasmi nadhani itasaidia wasioelewa lugha hiyo mbali na kuburudishwa na sauti nzuri ya mwanamama huyo, wataweza pia kupata ujumbe uliokusudiwa
naomba link tafadhali, nime google sijapata hiyo translation unayoisema
 
Back
Top Bottom