iv karibuni nacte walifungua maombi kwa ngazi ya astashaada na stashahada ktk muongozo wao wamesema wanafunzi anaweza kuomba moja kwa moja chuoni yaani atasajiliwa na chuo ktk mfumo uitwao instutional panel ama ata omba kupitia nacte pamoja na hayo waungwana naombeni mnisaidie ktk njia hiyo ya instutional panel kuna mtu kafanikiwa kufika chuoni na akasajiliwa?pia ktk mfumo huu inawezekana kusajiliwa chuo zaidi ya kimoja??