Hao ni wamiliki wa hilo duka mkuu,na hicho ni kifupisho cha majina yao,mmoja anaitwa Marlin na mwingine anaitwa Vincent kama sijakosea,duka kama hilo niliwahi kulikuta Ujerumani pia...
kama ya tanzania!
Unajuwa nini maana ya neno Mavi Jeans? Blue Jeans maana yake, Turkey kuna baadhi ya maneno huko nyumbani ni matusi matupu hayafai hata kuwekwa hapa wazi Safari_ni_Safari