Installation of Servers

Installation of Servers

raymkindo

Senior Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
102
Reaction score
46
Habari!!
Kwa wale wataalamu wa Installation, naomba kujua gharama ya Installaion ya Server inaweza fika shiling ngapi. Pamoja na configuration zake.
 
Jifunze kujieleza vizuri unapofungua thread, ndomana mpaka sasa hujajibiwa ¡

SERVER zipo nyingi, ata ubongo wako nao ni server.
Elezea vizuri unazungumzia server gani ili watu waje kukusaidia vizuri.

© snipa
Habari!!
Kwa wale wataalamu wa Installation, naomba kujua gharama ya Installaion ya Server inaweza fika shiling ngapi. Pamoja na configuration zake.
 
Last edited by a moderator:
Habari!!
Kwa wale wataalamu wa Installation, naomba kujua gharama ya Installaion ya Server inaweza fika shiling ngapi. Pamoja na configuration zake.

Unataka Physical server nyumbani/ofisini au unataka zile zinazokua Hosted na makampuni kadhaa na wewe unakua unazi acess remotely?
Unataka server kwa matumizi gani?
Or less your query is incomplete
 
Jifunze kujieleza vizuri unapofungua thread, ndomana mpaka sasa hujajibiwa ¡

SERVER zipo nyingi, ata ubongo wako nao ni server.
Elezea vizuri unazungumzia server gani ili watu waje kukusaidia vizuri.

© snipa

Mkuu kiustaarabu, msaada wako ungekua kumuuliza kuwa anataka server ya aina gani na sio kumkatisha tamaa au dhiaka..

Pamoja sana mkuu snipa
 
Last edited by a moderator:
Jifunze kujieleza vizuri unapofungua thread, ndomana mpaka sasa hujajibiwa ¡

SERVER zipo nyingi, ata ubongo wako nao ni server.
Elezea vizuri unazungumzia server gani ili watu waje kukusaidia vizuri.

© snipa

snipa

Ukianza kusoma nilichoandika nilianza na kusema "Wataalam" nikiwa na maana ya kuwa sina utaalamu wa hiyo kitu thats why nipo Hapa na nikauliza.
Asante kwa kunifungua Masikio
Ni Physical Server ya Nyumbani.
Mfano naitaji Windows Server 2012
Inakuwaje Hapo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiustaarabu, msaada wako ungekua kumuuliza kuwa anataka server ya aina gani na sio kumkatisha dhiaka..

Pamoja sana mkuu snipa

Sidhani kama Luna tatizo kumwambia vile, mana siku nyingine atafunguka vizuri turn ktk byuzi mpya.
Nimekuwa nikisema sana maswala kama Hays mpaka engine Kunipa kauli zisizokuwa zakiustaarabu, ila wanajifunza.

Nimeishi forum nyingi black and white, deep and surface ila forum yetu Hii ya TZ inaendeshwa kwaupendo na huruma.

Nenda forum za kawaida tu kama Naira land afu uliza maana ya HTML au HTTP one kama itamaliza ata dk 3 hiyo thread.
 
Mars Rover sorry for touchscreen language.

ray57 am happy you've roger that.
 
Last edited by a moderator:
snipa

Ukianza kusoma nilichoandika nilianza na kusema "Wataalam" nikiwa na maana ya kuwa sina utaalamu wa hiyo kitu thats why nipo Hapa na nikauliza.
Asante kwa kunifungua Masikio
Ni Physical Server ya Nyumbani.
Mfano naitaji Windows Server 2012
Inakuwaje Hapo.

My question is the basis of this discussion
bila kujua Matumizi yako ya server personally sijui mtu ataanzia wapi kukushauri

Unataka server tena yenye Windows OS for what?
prestige au?

Na wala kwa maisha yetu ya Kitanzania haya Physical server itaku cost si kidogo or less wewe unaitaka kwa ajili ya kampuni

Server can be merely Any Computer with Internet connection provided watu outside that network wanaweza kufanya communication na hiyo server na labda ina run some applications

Hivo waweza kutafuta a Old Dell desktop computer uka install lets windows server 2012 OS au any Linux distro kisha ukaenda TTCL au Raha Broadband au Smile Telecom ukawaomba wakufungulie internet yao na ukawaomba Static IP adress tayari utakua na Physical server as simple as that

Lakini swali litakuja pale pale hiyo server ni kwa kujifunzia/educational purposes au unataka ku run some official services e.g hosting a website kama ni kwa ajili ya official service then this isn,t enough ukizingatia hao ISP nilokutaji watakukamua hela balaa pia swala la umeme wetu huu wa Tanesco utakupa challenge hivo utaitaji some power backups which makes the process cumbersome
Further more kama ni official services unataka ku run hauwezi kutumia computer cha mtoto

hivo generally utaitaji yafutavyo

1.Computer server nikiangalia ebay ina cost 500$ kupanda juu
2.Internet Connection 24/7 ambako standards walau iwe linked to 100Mbps source au 1Gbps port speed na kwa hizo standards hapo labda utumie Optic fibre connection ambayo mpaka uwe connected lazima uchomoe xxx$ za kutosha
3.Power 24/7 hapa waweza mix TANESCO na other power backups

with these basic needs you are Good to go

Kwa hiyo Cost you could better buy a arleady Hosted Dedicated server Online and pay for it Monthly as low as from 50$ with one time setup fee of 50$
Upo guaranteed kuwa na connection ya uhakika hivo ku provide a standard service kwa watu wako

You can review my windows server/RDP images here below

LEFAVm.png

speed

L6M762.png
 
@Njunwa Wamavoko
Yani hapa nimekuelewa sanaaa.... mimi nilitaka ya kujifunzia na sasa nimeelewa zaidi ya nilichokuwa nakiulizia.
Na sasa Wacha Niendeleee Kupata Maujanja Zaidi.
Then I will Be Back
 
@Njunwa Wamavoko
Yani hapa nimekuelewa sanaaa.... mimi nilitaka ya kujifunzia na sasa nimeelewa zaidi ya nilichokuwa nakiulizia.
Na sasa Wacha Niendeleee Kupata Maujanja Zaidi.
Then I will Be Back

You are most welcome kaka kama ni kwa kujifunzia jinsi ya ku setup server then you are good to go
Ila kama haupo interested na setup ila unataka management kwa kujifunzia waweza pata cheapest server hata zenye 500GB Bandwidth as low as 20$/year :smile-big:
 
ninayo Dvd setup ya windows server 2012,ukihitaji kwa installation ktk pc yako ili kujifunza iko poa tu, nitafute bei yake ni elfu 10. napatikana 0655 600 437.
 
Njunwa Wamavoko
FaoVxv K9pUABERuFDJmYmck heAfztGwsAAABAF1QA4hYqOTORcxIqAMk3FgAAAIAuqADELVRyZiLnJFQAkm8sAAAAAF1QAYhbqOTMRM5JqAAk31gAAAAAuqACELdQyZmJnJNQAUi sQAAAAB0QQUgbqGSMxM5J6ECkHxjAQAAAOjiowKIK4aAxPjzmybueRhGfSZxn8Iw6idpExBpMyGEEEIIIYQQhbwDOLny4ZyobLIAAAAASUVORK5CYII=

wDgrbwAAAABJRU5ErkJggg==

Nimefanikiwa Kudownload
Windows Server 2012
na Nimeshainstall tayari kwa kujifunza baadhi ya setups and configuration.
Yote Kwa |||Kwa Msaada wako na wanajamii
 
Last edited by a moderator:
@paramawe Asante Mkuu
Nimefanikiwa Kushusha Mzigo Torrents na Tayari Nimeshafanikiwa Kufanya Installation Katika PC yangu.
Iko Vyema
 
@paramawe Asante Mkuu
Nimefanikiwa Kushusha Mzigo Torrents na Tayari Nimeshafanikiwa Kufanya Installation Katika PC yangu.
Iko Vyema

While doing that, nivema ukaenda kabisa TTCL au Simbanet ili kupata dedicated IP. Last time I checked TTCL ilikuwa Laki 3 one time fee kwa dedicated IP.
 
Back
Top Bottom