Instagram kuna siri gani?

Instagram kuna siri gani?

Yeah wanajipromote...but sijui jamaa hasa wa ulaya wanatumia njia gan..
kwa sababu unaeza kuta jamaa anafollowers 2m idadi ambayo...hata msanii wa bongo hana..

nasikia eti wenye ista wenyewe ndio huwa wanawapunguzia idadi ya followers wasanii wanaokaribia kufikia 1m, mfano siku moja mtandaoni niliona diamond akilalamika eti kapunguziwa follower huko insta(sijathibitisha maana simfollow diamond), ila hilo nimelisikia sana
 
Hamna hayo maneno tu...kulikua na marekesho..walizuia account zisizo active na account zenye fake followers...
 
Hamna hayo maneno tu...kulikua na marekesho..walizuia account zisizo active na account zenye fake followers...

hapo waliwakomesha, kumbe mtu mpaka anaweka followers feki!!!
 
Mitandao ya kijamii ilinikalia kushoto.

Ila kuna watu aisee wana accounts kote.

Mnnnhhh
 
Mitandao ya kijamii ilinikalia kushoto.

Ila kuna watu aisee wana accounts kote.

Mnnnhhh

mi naona ni sifa tu kuwa accounts nyingi halafu hata kuzi-manage wanashindwa.
 
Mkuu tunapiga pesa. Kupitia instagram.... Sitaji kipato. Ila ni pesa nyingi... Na insta ni just for funny ila inanipa pesa. Nina followers 93k
 
Sio wewe tu. Me pia ni mmoja ambae huwa najuta kwa nini lijiunga na ista. Sio type yangu kwa kweli.
Mm baada ya kuona sio mpenz wa kuweka picha mitandaoni nilifuata step za ku remove account yangu ya insta. Nikaachana nayo
 
Je, na ile ya youtube kuweka video halafu ukiwa na watazamaji wengi we ndo unakuwa unanufaikaje ??????????? ( mutanisamehe kama nipo nje ya mada )
 
Je, na ile ya youtube kuweka video halafu ukiwa na watazamaji wengi we ndo unakuwa unanufaikaje ??????????? ( mutanisamehe kama nipo nje ya mada )

Matangazo pia unapata hela.

Ila si idea nzuri kufungua kitu upate hela iwe ni instagram, blog, youtube nk. Unatakiwa ufungue kitu kwa sababu ni proffesional yako na unakijua. Ukifanya hivyo utaona automatic watu wanaangalia kazi yako baadae hela nazo zitakuja automatic.
 
Back
Top Bottom