Inspector Haroun, King Crazy GK...wako wapi watu hawa?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
418
81
Jamani leo nlikua nackiliza bongo flava ya old times..nika kutana na Ama zangu ama zao ya east coast na Mtoto wa geti kali. Kiukweli nlikumbuka enzi zile hzo nyimbo zilikua juu..lakini leo hata cjui hawa wasanii wako wapi, cjui wanafanya ninh. Cjui mziki ndo bas au ndo wanajipanga. Yaani sana ya bongo kaazi kweli kweli.
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
muziki wa kibongo ni ka mbio za vijiti,ila life la uswazi ya gangwe mobb ndo huwa inanikumbusha mbali sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom