Insipiration Speaker in Tanzania

PASSIONATE

Member
May 20, 2015
69
27
Wadau ningependa kufanya hii kazi ya kuwa inspirational speaker hapa nchini na kwa kuanza nilitaka nifanye consultancy ya small business management kwa kuwakusanya wafanya biashara wadogo wadogo na kuwapa mbinu za kuendesha biashara zao, sasa ninaomba mwenye wazo kama hili achangie kwani hii ni namna kujiajiri, na biashara ndonyaogondogo zilizndogozilizogi hapa nchini na inatoa opportunity sisi watu tuliokwetuliokwevyuoni ku share na hawa ma entrepreneur, naombeni mwongozo nataka level za akina Les Brown,nifi msaadamsaatafadhali
 
Ameeen Dk. Said maana vijana wa kitanzania hudhani kila sehemu ni ya upigaji, angalia inspirational speakers wa nje hawajawa vile kwasababu tu ya elimu yao ya chuo kikuu Bali uzoefu, wana makampuni yao yanaendelea, wana uzoefu mkubwa na yale wayazungumzayo. Sasa wewe ndugu yangu kuwa chuo na hizo theoretical knowledge zenu mnataka kukurupukia mambo, huna experience yoyote bila Shaka huna biashara yoyote ambayo imekufanya ukatambua upepo wa biashara ulivyo. Utaweza vipi kuwashauri wafanyabiashara wadogo ilihali hakuna ulijualo au kwasababu ya kaelimu ka chuo??? Think beyond my friend
 
Back
Top Bottom