Innocent waache watu wamwabudu Mungu wao

Innocent waache watu wamwabudu Mungu wao

Wimbo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
886
Reaction score
664
Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
 
Amekula amevimbiwa unadhani atakusikia mkuu wangu 🤔🤔
Kusikia Kwa kenge n mpk damu imtokee puani ,,
 
Back
Top Bottom