Innalilah wainnailaih rajiun mzee hussein chilwan

Innalilah wainnailaih rajiun mzee hussein chilwan

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,392
Reaction score
15,203
Mwaka 2019 nilipopewa kesi nzito ya unyang'anyi wa kutumia siraha( armed robbery ) nilipandishwa mahakamani na kwakuwa kesi hii haina dhamana nilipelekwa gereza la butimba.....kawaida upelelezi wa kesi hii huwa ni ndani ya siku 90 ndipo ukamilike na kesi ianze kusikilizwa...nilipoingia gerezani butimba nilimkuta marehemu mzee hussein chilwan akiwa ni mtuhumiwa wa kesi ya ugaidi toka mwaka 2016......mzee chilwan alinifundisha vitu vingi sana ikiwemo subra utu na utulivu.....innalillah wainnailaih rajiun mzee hussein chilwan .........
 
Attachments

  • 20220731_153322.png
    20220731_153322.png
    80.8 KB · Views: 12
Huwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..

Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.

Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ficha chuki itakusaidia popote uendako
 
Huwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..

Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.

Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.

#MaendeleoHayanaChama
Hii Dini ila UJINGA sana. Hebu angalia Headline ya gazeti lao

Eti mwisho wa ulimwengu wa Ukristo
JamiiForums-1679361204.jpg
 
Huwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..

Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.

Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu umewaza vyema? Wewe unawajua magaidi wote? Una uhakika hakuna siku wewe au ndugu yako laweza kutokeeni zaidi ya hilo?
 
Huwezi sikia wachungaji ama mapadre wamefungwa kwa ugaidi..

Dini ya wavaakobazi ina tatizo mahali.

Apumzike kwa amani akome kuhubiri chuki na utengano baina ya jamii ya watanzania kisa illusion zake za kiimani.

#MaendeleoHayanaChama
Hivi Mbowe alituhumiwa kwa kesi gani vile? Vipi na yeye ni shehe wa mkoa gani?

Kwa kweli ukiwa mkristo unakuwa na uwezo mdogo sana wa kutumia akili na ujinga unakuwa mwingi...

Natamani siku moja nikutane na wewe sehemu tujadiliane moja baada ya jingine ili udhihirikiwe ujinga wako...
 
Back
Top Bottom