Injinia Hersi akikabidhi Jezi ya Yanga kwa Raisi kagame

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,705
4,536
Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .

Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.

Zawadi hiyo amemkabidhi Waziri wa Michezo Rwanda Munyegaju Aurore Mimosa kwa niaba ya Rais Kagame ambaye imeripotiwa yupo nje ya Nchi ya Rwanda kikazi.
 
Hersi mtu mbad sana
 
Kijana aanafanya Vizuri sana Anastahili.

Yanga Wamepata KIONGOZI mzuri mno.

Simba Tuna la kujifunza kwa jamaa.
Yanga inapanda kwenye Rank,
Yanga inakimbia sana mitandaoni.

1. Umoja.
2. USAJILI mzuri.
3. Hamasa ya Timu IPO juu.
4.Uongozi Bora.
5. SADAKA/ Utoaji KWA Yatima.

TATIZO nililoliona kwake
1. Migogoro na wachezaji.
2. Kushtakiwa CAF, FIFA KWA MADENI.

Ushauri.
Atafute wanasheria Bora zaidi wa kuivusha Timu.

MANGUNGU NA TRY AGAN MNAPASWA KUJIFUNZA KWA ENGENEER. .
 
Simba ubunifu ni Zero.
 
Hapa umeandika point tuuuuuupu
 
Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .

Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.

Zawadi hiyo amemkabidhi Waziri wa Michezo Rwanda Munyegaju Aurore Mimosa kwa niaba ya Rais Kagame ambaye imeripotiwa yupo nje ya Nchi ya Rwanda kikazi.

Ila Eng. Hersi hiyo nafasi imemfiti sana, anapambana sana. Mwanzo nilikuwa naona aah vipi tena dogo.
 
Back
Top Bottom