INJILI YA UTAKATIFU

INJILI YA UTAKATIFU

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,121
Reaction score
4,678
Ni KWELI kabisa tunaokolewa kwa NEEMA tukiwa na dhambi zetu hivyo hivyo Yesu anatupokea anatuita tuje kama tulivyo ama YESU anatutafuta wenye dhambi tuliopotea tuingie zizini kwake na yeye tumkiri na kumkubali awe BWANA na MWOKOZI WETU..nasi TUNATUBU dhambi tunapata msamaha WA dhambi sio Bure kwa gharama aliyoilipa Yesu kwa kuteswa pale msalabani ametulipia gharama ya dhambi zetu kwa neema hiyo tunahesabiwa HAKI ambayo hatukuistahili..

HATUA YA PILI (YA MUHIMU SASA)
Baada ya kupokelewa kumkiri Yesu ,kutubu na kusamehewa (kuokolewa kwa neema)
NI LAZIMA SASA UISHI MAISHA YA UTAKATIFU HAPA DUNIANI...lazima ubadilike ,uache NJIA zako mbaya za kale ,utu WA kale ubadilishwe uvuliwe uvalishwe utu upya ,tuyafue mavazi machafu kwenye damu ya Yesu nguo zetu ziwe nyeupe kama bibi harusi.

Huwezi ukaendelea kudumu katika dhambi halafu USEME kuna NEEMA NYINGI TU IPO,sasa kutakuwa na utofauti Gani kati ya aliyeokoka na asiyeokoka kama bado utataka uendelee kuishi maisha yale yale ya dhambi kama ilivyokuwa kabla ya KUOKOKA.

UTAUWA--UTAKATIFU-+NI KUTENGWA AMA KUJITENGA NA DHAMBI.

Mwili huu kusulubisha Matendo ya mwili na tamaa zake mbaya na mawazo yake mabaya ,mwili huu lazima uusulibishe u discipline mana MTU hujaribiwa na tamaa zake mbaya za mwili wake mwenyewe Mungu hajaribiwi na dhambi Wala hamjaribu MTU ili atende dhambi.
Hata kama UMEOKOKA lakini kwa kuwa una mwili huu,lazima ukeshe ukiomba,lazima uteke NYARA kila FIKRA na mawazo mabaya yaweze KUMTII KRISTO,lazima UTII sauti ya Roho Mtakatifu,akuongeze,tii NENO LA MUNGU,uwe na IMANI..

TIKETI YA KUONGIA MBINGUNI NO UTAKATIFU..
UTAKATIFU ni hapa duniani ingali ukiwa hai ,ukishakufa kinachofuata ni HUKUMU ,huwezi ukafa katika dhambi halafu umtegemee ukifika MBINGUNI utapata msamaha WA dhambi,au watakuombea walioko DUNIANI ulazwe Pema,kinachochagua utakapokwenda baada ya kufariki ni Matendo Yako hapa duniani kipindi ukiwa hai.

YESU ANASISITIZA UTAKATIFU..NDIO INJILI YA UZOMA WA MILELE,MATENGENEZO MABADILIKO

1 Pet 1:15-16
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.

UTAKATIFU NI HAPAPA DUNIANI KATIKA WAKATI HUU HUU WA SASA HIVI

Tit 2:11-12
Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa

Zab 16:3
Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.

BILA UTAKATIFU HUWEZI KUINGIA MBINGUNI/PEPONI
Ebr 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao

Ufunuo 22:14
Heri yao wale wanaoosha mavazi yao, wapate kuwa na haki ya kula tunda la mti wa uhai, na haki ya kuingia mjini kwa kupitia milango yake.

Ufu 21:27
Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.

BAADA YA KUOKOKA NI LAZIMA KUISHI MAISHA YA UTAKATIFU KUACHA DHAMBI NA KUTUBU NA KUZIACHA DAMBI..DAUDI ALIKUWA MWEPESI WA KUTUBU NA KUZIACHA DHAMBI...
Yn 5:14
Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.

Ufu 22:11
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.

HII YA KUSEMA MUNGU HAANGALII MWILI ANAANGALIA MOYO TU,AMA HAIWEZEKANI KUISHI BILA DHAMBI KATIKA ULIMWENGU HUU WA SASA LABDA ENZI ZA ZAMANI?AU HUWEIZ KUWA MTAKATIFU DUNIANI KABLA HUJAFA UTAENDA KUWA MTAKATIFU UKIFA????????

UKIFA kinachofuata ni HUKUMU kuvuna ulichopanda kutoa hesabu ya MATENDO Yako ya DUNIANI.
Mungu ni Mungu WA waliohai wote wenye mwili..kuwa hai duniani ni NEEMA ya kufanya matengenezo.

Warumi 6:1-2:
"Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?"

INJILI YA UTAKATIFU NDIYO INJILI ANAYAOTAKA WATU WAHUBIRIWE HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA NYAKATI ZA MWISHO.

KUSAIDIA WAHITAJI MASIKINI,YATIMA,WAGONJWA,WALEMAVU,WASIOKUWA NA CHAKULA,NGUO WAHITAJI...NDICHO KITU YESU ANATAKA WATU WAFANYE ,NA WALA SIO UBINAFSI WA KUJIRUNDIKIA MALI KWA AJILI YAKO BINAFSI.

KUTOA NI MOYO.
 
INJILI YA UTAKATIFU HAIJAHUBIRIWA KABISA...watu wengi hawaelewi ,wanasubiri wakifa waende wakawe WATAKATIFU mbinguni..UTAKATIFU ni hapa hapa duniani, UTAKATIFU NDIO TIKETI YA KWENDA MBINGUNI.
 
Makanisa hayakemei dhambi wachungaji wanawaogopa waumini wao wanaowachunga , DHAMBI HAIKEMEWI kwa kuogoapa kuwaudhi waumini kuwa watakimbia watahama kanisa..

Waumini sio WA KWAKO WEWE mchungaji,waumini ni WA Mungu, wewe UMEPEWA dhamana ya kuwaongoza katika NJIA ya kwenda mbinguni,MAVUNO ya Yesu ni hizo NAFSI ziongozwe NJIA ya kwenda mbinguni.

Wachungaji watadaiwa Roho zote zilizopotea kwa wao kutokuwahibiria INJILI ya UTAKATIFU.
 
Vaa SILAHA za Imani kila SIKU asubuhi

OMBA YESU AKUVALISHE SILAHA HIZI KATIKA SALA KILA SIKU ASUBUHI
Silaha za Mungu ni vifaa vya ulinzi vya kiroho vinavyotajwa katika Biblia kwenye kitabu cha Waefeso 6:10-18, ambavyo huwasaidia Wakristo kupinga vishawishi na hila za Ibilisi.
Vipande vikuu sita vya silaha hizi ni:
• Mshipi wa ukweli (Waefeso 6:14) – Kuishi na kusimama katika kweli ya Mungu ili kuzuia uongo.
• Dirii ya haki (Waefeso 6:14) – Haki ya Kristo inayolinda moyo na maadili yako.
• Viatu vya Injili ya amani (Waefeso 6:15) – Utayari unaotoka katika Habari Njema ili kusimama imara.
• Ngao ya imani (Waefeso 6:16) – Imani inayozima mishale yote yenye moto ya adui.
• Chepeo ya wokovu (Waefeso 6:17) – Kofia ya chuma inayolinda akili na ufahamu wako dhidi ya mafundisho potofu.
• Upanga wa Roho (Waefeso 6:17) – Neno la Mungu, ambalo ndiyo silaha pekee ya kushambulia na kupinga uovu.

PIA KILA SIKU sema
Yakobo 4:7
Nakutii WEWE Yesu,wewe shetani nakukataa nakupinga na mambo Yako yote nawe unikimbie.

Pia ongezea kuomba hivi

Kuwa nateka NYARA FIKRA ZOTE na mawazo yote na kila kijiinuacho katika ELIMU ya Mungu viweze KUMTII KRISTO

Wakorintho 10:5 (katika Kiswahili):
"Tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo."
 
Kutoka 24:10.
Inasema "nao wakamwona MUNGU wa israel.....

halafu
Yohana 1:18.
Yesu anasema "Hakuna aliyemwona MUNGU wakati wowote....

halafu kuna wakati MUNGU alimwambia
Mussa atamwona sehemu ya nyuma, baada ya mussa kudai kutaka kuona utukufu wa MUNGU!!!

Na YESU anasema MUNGU ni ROHO na wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika
Roho na kweli....
Na tunajua ROHO haina mwili.
Ufafanuzi mtumish
Maana imeni contradict
Asante.
Setfree
 
YESU ALIVAA MWILI WA MWANADAMU KWA 100%
Ili Awe "Daraja" la Kumwona na Kumfahamu Mungu

Yohana 1:18 inasema, "Hakuna aliyemwona Mungu wakati wowote; Mwana pekee... ndiye aliyemfunua."
Kwa sababu wanadamu hawawezi kuuona utukufu wa Mungu katika asili yake ya Kiroho na kubaki hai",

Mungu alivaa mwili wa kibinadamu (Yesu) ili tuweze kumwona, kumgusa, na kumsikia. Yesu alimwambia Filipo: "Aliyeniona mimi amemwona Baba" (Yohana 14:9).

Mwili wa Yesu ulikuwa kama "pazia" lililofunika utukufu wa Mungu ili tuweze kukaribia bila kuangamia

Ufafanuzi: Neno la kigiriki lililotumika hapa kwa "kuona" halimaanishi tu kutazama kwa macho, bali kumfahamu Mungu kwa ukamilifu wote na dhati yake yote. Hakuna mwanadamu mwenye dhambi anayeweza kumwona Mungu katika utukufu wake kamili wa asili na akabaki hai. Yohana anamaanisha kuwa Yesu Kristo (Mwana pekee) ndiye pekee anayemjua Mungu kikamilifu na ametujaalia kumfahamu Mungu kupitia Yeye

• Tangu mwanzo wa uumbaji, kila mara Mungu alipojidhirisha kwa wanadamu kwa namna inayoweza kuonekana na kushikika (kama mtu, malaika, au sauti ya kutembea), alikuwa ni Yesu Kristo (Neno la Mungu) akifanya kazi hiyo.
• Adamu hakumwona Mungu Baba katika dhati yake kuu ya Kiroho, bali alimwona na kuwasiliana na Mungu Mwana ambaye alitwaa umbo linaloonekana ili aweze kuwa na ushirika wa karibu na binadamu.

NITAKUTUMIA PRESENTATION YA DR MIZ MZAKHWE TANCREDI (PHD) ameelezea vizuri
 
Ni KWELI kabisa tunaokolewa kwa NEEMA tukiwa na dhambi zetu hivyo hivyo Yesu anatupokea anatuita tuje kama tulivyo ama YESU anatutafuta wenye dhambi tuliopotea tuingie zizini kwake na yeye tumkiri na kumkubali awe BWANA na MWOKOZI WETU..nasi TUNATUBU dhambi tunapata msamaha WA dhambi sio Bure kwa gharama aliyoilipa Yesu kwa kuteswa pale msalabani ametulipia gharama ya dhambi zetu kwa neema hiyo tunahesabiwa HAKI ambayo hatukuistahili..

HATUA YA PILI (YA MUHIMU SASA)
Baada ya kupokelewa kumkiri Yesu ,kutubu na kusamehewa (kuokolewa kwa neema)
NI LAZIMA SASA UISHI MAISHA YA UTAKATIFU HAPA DUNIANI...lazima ubadilike ,uache NJIA zako mbaya za kale ,utu WA kale ubadilishwe uvuliwe uvalishwe utu upya ,tuyafue mavazi machafu kwenye damu ya Yesu nguo zetu ziwe nyeupe kama bibi harusi.

Huwezi ukaendelea kudumu katika dhambi halafu USEME kuna NEEMA NYINGI TU IPO,sasa kutakuwa na utofauti Gani kati ya aliyeokoka na asiyeokoka kama bado utataka uendelee kuishi maisha yale yale ya dhambi kama ilivyokuwa kabla ya KUOKOKA.

UTAUWA--UTAKATIFU-+NI KUTENGWA AMA KUJITENGA NA DHAMBI.

Mwili huu kusulubisha Matendo ya mwili na tamaa zake mbaya na mawazo yake mabaya ,mwili huu lazima uusulibishe u discipline mana MTU hujaribiwa na tamaa zake mbaya za mwili wake mwenyewe Mungu hajaribiwi na dhambi Wala hamjaribu MTU ili atende dhambi.
Hata kama UMEOKOKA lakini kwa kuwa una mwili huu,lazima ukeshe ukiomba,lazima uteke NYARA kila FIKRA na mawazo mabaya yaweze KUMTII KRISTO,lazima UTII sauti ya Roho Mtakatifu,akuongeze,tii NENO LA MUNGU,uwe na IMANI..

TIKETI YA KUONGIA MBINGUNI NO UTAKATIFU..
UTAKATIFU ni hapa duniani ingali ukiwa hai ,ukishakufa kinachofuata ni HUKUMU ,huwezi ukafa katika dhambi halafu umtegemee ukifika MBINGUNI utapata msamaha WA dhambi,au watakuombea walioko DUNIANI ulazwe Pema,kinachochagua utakapokwenda baada ya kufariki ni Matendo Yako hapa duniani kipindi ukiwa hai.

YESU ANASISITIZA UTAKATIFU..NDIO INJILI YA UZOMA WA MILELE,MATENGENEZO MABADILIKO

1 Pet 1:15-16
bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, ninyi nanyi iweni watakatifu katika mwenendo wenu wote; kwa maana imeandikwa, Mtakuwa watakatifu kwa kuwa mimi ni mtakatifu.

UTAKATIFU NI HAPAPA DUNIANI KATIKA WAKATI HUU HUU WA SASA HIVI

Tit 2:11-12
Maana neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu wote imefunuliwa; nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia; tupate kuishi kwa kiasi, na haki, na utauwa, katika ulimwengu huu wa sasa

Zab 16:3
Watakatifu waliopo duniani ndio Walio bora, Hao ndio niliopendezwa nao.

BILA UTAKATIFU HUWEZI KUINGIA MBINGUNI/PEPONI
Ebr 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao

Ufunuo 22:14
Heri yao wale wanaoosha mavazi yao, wapate kuwa na haki ya kula tunda la mti wa uhai, na haki ya kuingia mjini kwa kupitia milango yake.

Ufu 21:27
Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyaye machukizo na uongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo.

BAADA YA KUOKOKA NI LAZIMA KUISHI MAISHA YA UTAKATIFU KUACHA DHAMBI NA KUTUBU NA KUZIACHA DAMBI..DAUDI ALIKUWA MWEPESI WA KUTUBU NA KUZIACHA DHAMBI...
Yn 5:14
Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.

Ufu 22:11
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa.

HII YA KUSEMA MUNGU HAANGALII MWILI ANAANGALIA MOYO TU,AMA HAIWEZEKANI KUISHI BILA DHAMBI KATIKA ULIMWENGU HUU WA SASA LABDA ENZI ZA ZAMANI?AU HUWEIZ KUWA MTAKATIFU DUNIANI KABLA HUJAFA UTAENDA KUWA MTAKATIFU UKIFA????????

UKIFA kinachofuata ni HUKUMU kuvuna ulichopanda kutoa hesabu ya MATENDO Yako ya DUNIANI.
Mungu ni Mungu WA waliohai wote wenye mwili..kuwa hai duniani ni NEEMA ya kufanya matengenezo.

Warumi 6:1-2:
"Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi?"

INJILI YA UTAKATIFU NDIYO INJILI ANAYAOTAKA WATU WAHUBIRIWE HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA NYAKATI ZA MWISHO.

KUSAIDIA WAHITAJI MASIKINI,YATIMA,WAGONJWA,WALEMAVU,WASIOKUWA NA CHAKULA,NGUO WAHITAJI...NDICHO KITU YESU ANATAKA WATU WAFANYE ,NA WALA SIO UBINAFSI WA KUJIRUNDIKIA MALI KWA AJILI YAKO BINAFSI.

KUTOA NI MOYO.
ubarikiwe sana
 
Kutoka 24:10.
Inasema "nao wakamwona MUNGU wa israel.....

halafu
Yohana 1:18.
Yesu anasema "Hakuna aliyemwona MUNGU wakati wowote....

halafu kuna wakati MUNGU alimwambia
Mussa atamwona sehemu ya nyuma, baada ya mussa kudai kutaka kuona utukufu wa MUNGU!!!

Na YESU anasema MUNGU ni ROHO na wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika
Roho na kweli....
Na tunajua ROHO haina mwili.
Ufafanuzi mtumish
Maana imeni contradict
Asante.
Setfree
🙏🙏
 
View: https://youtu.be/e-Krd-0pPQg?si=dGa9ZcsthKqRZ4jV

View: https://youtu.be/nsmv5TItPcw?si=CP6tcxD-N9VJ7HYd

Huyu mtumishi WA Mungu ni DAKTARI BINGWA KABISA na mshahara wake ulikuwa karibu MILIONI 10 kwa mwezi..lakini aliacha KAZI ya UDAKTARI kwa AJILI ya kumtumikia Mungu,kufanya kazi ya kuhubiri INJILI ya KWELI ,INJILI inayompeleka mtu mbinguni,INJILI ya matengenezo,toba,..inayomletea Yesu FAIDA (MAVUNO ya Yesu..ni watu waje kwa YESU,wamgeukie yeye na kuacha NJIA zao mbaya)

sio hizi INJILI ya mafanikio..NJOO UPOKEEE..POKEA NYUMBA NA GARI NA BIASHARA NA MAFANIKIO YA DUNIANI...NOOO.....INJILI ZA UTAKATIFU...zinazoweza kumletea Yesu FAIDA (MAVUNO) nafsi za watu WA Mungu zisipotee Bali wawe na UZIMA WA MILELE.

INJILI YA UTAKATIFU HAIJAHUBIRIWA KABISA...watu wengi hawaelewi ,wanasubiri wakifa waende wakawe WATAKATIFU mbinguni..UTAKATIFU ni hapa hapa duniani, UTAKATIFU NDIO TIKETI YA KWENDA MBINGUNI

Watumishi na makanisa hayakemei dhambi wachungaji wanawaogopa waumini wao wanaowachunga , DHAMBI HAIKEMEWI kwa kuogoapa kuwaudhi waumini kuwa watakimbia watahama kanisa..

Waumini sio WA KWAKO WEWE mchungaji,waumini ni WA Mungu, wewe UMEPEWA dhamana ya kuwaongoza katika NJIA ya kwenda mbinguni,MAVUNO ya Yesu ni hizo NAFSI ziongozwe NJIA ya kwenda mbinguni.

Wachungaji watadaiwa Roho zote zilizopotea kwa wao kutokuwahubiria INJILI ya UTAKATIFU
 
Kumtumikia Mungu ni jambo jema ni fungu jema SANA ,kama huyu Daktari bingwa kabisa anamtumikia Mungu KWA viwango vikubwa kabisa..hata wewe huduma uliyonayo ishikilie ni KAZI njema sana..hata kama watu WENGINE wattakucheka na kusema unashinda kanisani TU muda WOTE unapoteza muda WAKO BUREE...Ila nikutue moyo..katika kufanya KAZI ya MUNGU katika kutumika shambani mwa MUNGU HAKUNAGA KUPOTEZA MUDA BURE kwa KUMTUMIKIA Mungu.
 
SWALI

Kweni hawezi kumtumikia Mungu akiendelea na kazi. Just imagine unachomwa moto kwa kuabandon wito au talanta aliyopewa na Mungu. Watu wa Mungu wamekosa huduma za Daktari bingwa, just imagine

JIBU
msikilize vizuri.. scenario yake ILIVYOKUWA..kwanza alifukuzww kanisani alikokuwa anaabudia Daresalaam kwa sababu walitofautiana na uongozi WA kanisa kwa sababu alikuwa anasimamia HAKI,...baadae akawa anasalia nyumbani kwake...baadae nyumbani kwake pakawa wanajaa watu wengi sana ..pakawa hapatishi ikabidi wachange hela wajenge kanisa..

walipojenga kanisa..akatafuta wachungaji..wawe wanaongoza kanisa lake wakati YEYE anaendelea na KAZI ya UDAKTARI ila anahudumia kuwalipa mshahara na kuchangia kazi za kanisa kupitia mshahara wake.
CHANGAMOTO ikawa wale wachungaji aliowatafuta wakawa HAWAENDI katika misingi inayotakiwa mara wafanye maombi ya laki moja ,Yani kuwatoza waumini huduma ya kuombewa walipie Ile ya kusema Mungu amenituma unipe sadaka nimuombee maombi ya laki moja.

Mke WA mchungaji akawa anavaa hivyo mapambo kusuka suka MAWIGI ..masuruali..na mambo mengine ..AMBAYO yeye kwa mujibu WA maandiko nya biblia akawa anaona ni kinyume..akamuita mchungaji wake akaongea naye .baadae yule mchungaji akaondoka

Akawa anatafuta wachungaji..kwa muda mrefu hapati akipata anapata Vimeo..

Baadae sauti ya Mungu na NDOTO..akawa anaona kondoo wake sasa wanapoteza hawana mchungaji...Yesu akawa anakwambia LISHA CHUNGA KONDOO WANGU .

ikamchukua muda MREFU mpaka baadae akaja akina ngoja nitii sauti ya Mungu..mana kuna NAFSI zinapotea kwa AJILI yake..

SASA MTU KAMA HUYU...ambaye ameacha KAZI yake kwa ajili ya kija kufanya KAZI YA MUNGU FULL TIME...

huwezi kumkuta anahubiri blaha blaha...lazima atahibiri INJILI YQ UZIMA...ili kondoo waokoke..atafanya KAZI aliyopewa na YESU MWENYEWE.

ndio hiyo INJILI YA KWELI inayotakiwa.

KUNA CHANGAMOTO...KUBWA...SANA...KUKOSEKANA KWA INJILI YA KWELI..IMEKUWA ADIMU SANA.

UNAJUA manabii WA UONGO wanachofanya ni Nini??

sio kwamba wanahubiri UONGO kwa silimia zote mia?wanaweza KUHUBIRI kaungo kadogo TU hata asilimia 10%. hako kainjili la UONGO kidogo..kanakuzuia kuingia mbinguni..Yani INJILI ambayo haitakufanya wewe UKUE KIROHO..haitakufanya wewe UACHE DHAMBI... haitakufanya wewe uende mbinguni..

Yani FIKRA zako zinaelekezwa katika kutazama MAFANIKIO ya KIDUNIA..kuwekeza DUNIANI(prosperity)..kwamba

Kaa TU utulie ..Mungu HAANGALII dhambi,Mungu ni WA Rehema ,Mungu ni MZURI tu ..hatawachoma moto .wote tuna dhambi hakuna mkamilifu..kuna NEEMA TU IPO NYINGI..tutaenda mbinguni..NJOO KWA YESU VILE ULIVYO..NA UKAE HIVYO ULOVYO YESU HAANGALII MWILI ANA ANGALIA ROHO TU..

hata dhambi ukifanya anakwambia hakuna shida Yesu ana angalia MOYO TU haangalii MWILI.

YANI HAKWAMBII SAWA UKISHAOKOKA ,UISHIJE SASA KATIKA HUO WOKOVU WAKO..ILI UFIKE MBINGUNI .MAISHA YA KUUKILIA WOKOVU..UENENDAJE..bbada ya KUOKOKA sasa UISHIJE ili ..sasa uende MBINGUNI urithi uzima WA MILELE(secondary outcomes/LENGO kuu ni ku urithi uzima WA MILELE)

sasa Nabii WA UONGO...atahakikisha UNABAKI HIVYO HIVYO ULOVYO ..Yani haupigi hatua..kama ulikuwa mlevi,mzinzi,unavaa VIMINI,kikahaba ,kwa wanawake masuruali,mapambo ,MAWIGI,kusuka..atakwambia

Yani UTABAKI hivyo hivyo kama ilivyokuwa kabla hujaokoka nanukivyo okoka hakuna tofauti .atakwambia Mungu Hana shida yeye ni PENDO..

YANI hautoki kwenye vifungo kuvuka KUFANYWA UPYA...KUISHI MAISHA YA WOKOVU sasa ili IENDE MBINGUNI baada ya KUOKOKA UISHIJE ishije..maisha ya wokovu kutembea na YESU na Roho mtakatifu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom