W Wolverine2 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2025 Posts 1,169 Reaction score 1,571 Dec 10, 2025 #61 Ertugrul Bey said: Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako epuka kuichoma nchi yako Click to expand... kwahisani ya nguvu ya buku 7!
Ertugrul Bey said: Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako epuka kuichoma nchi yako Click to expand... kwahisani ya nguvu ya buku 7!
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,292 Dec 10, 2025 #62 RRONDO said: Gen Z sasa 0912 imepita. Mmesafirisha watu hadi nje ya nchi kukimbia maandamano yenu ambayo yameandamana hewani. Acheni tufanye kazi sasa tufunge mwaka. Endelezeni mapambano mwakani. Click to expand... Siyo mwakani inabid iwe 2030 na wajiandae vya kutosha maana ccm ni sikio la kufa
RRONDO said: Gen Z sasa 0912 imepita. Mmesafirisha watu hadi nje ya nchi kukimbia maandamano yenu ambayo yameandamana hewani. Acheni tufanye kazi sasa tufunge mwaka. Endelezeni mapambano mwakani. Click to expand... Siyo mwakani inabid iwe 2030 na wajiandae vya kutosha maana ccm ni sikio la kufa
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,354 Reaction score 29,309 Dec 10, 2025 #63 The nightwalker said: kwahisani ya nguvu ya buku 7! Click to expand... Nimelipwa pakeji hadi 31 december
The nightwalker said: kwahisani ya nguvu ya buku 7! Click to expand... Nimelipwa pakeji hadi 31 december
W Wolverine2 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2025 Posts 1,169 Reaction score 1,571 Dec 10, 2025 #64 Ertugrul Bey said: Nimelipwa pakeji hadi 31 december Click to expand... sawa lakini usisahau mods sio wanaccm! Sasa we endelea kurudia maneno yaleyale kwa kila post unayoitoa!
Ertugrul Bey said: Nimelipwa pakeji hadi 31 december Click to expand... sawa lakini usisahau mods sio wanaccm! Sasa we endelea kurudia maneno yaleyale kwa kila post unayoitoa!
Ertugrul Bey JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 14,354 Reaction score 29,309 Dec 10, 2025 #65 The nightwalker said: sawa lakini usisahau mods sio wanaccm! Sasa we endelea kurudia maneno yaleyale kwa kila post unayoitoa! Click to expand... Nadhani hii ndio itakuwa ban ya kwanza tangu nijiunge jf Nipo tayari kwa hilo
The nightwalker said: sawa lakini usisahau mods sio wanaccm! Sasa we endelea kurudia maneno yaleyale kwa kila post unayoitoa! Click to expand... Nadhani hii ndio itakuwa ban ya kwanza tangu nijiunge jf Nipo tayari kwa hilo