Kwani lazima kutoka?Nikiwa University nilikuwa ninakwenda sana Revolution square. Na kunji nilikuwa ninapiga maana yule mwanafunzi Mganda alikuwa mstari wa mbele.Yaani wale wahamasishaji tulipiga kunji nao.Tulitoka nao yaani.Sasa huyu Nuruvaz anasema tutoke yeye yupo nyuma ya Laptop huko German. Ma mama eWewe coward huna lolote zaidi ya porojo bora ukae kimya....hao unawaowasema hata wangekuwa hapa bongo wako front usingetoka vilevile.....Tundu lissu tu ujawahi kuhudhuria hata mara moja mahakamani.
Siku hizi tatu sikuelewi madam au umeanza na wewe kuchukua zile afu saba saba mwanawaneππLive ya kipumbavu.Mijitu inayosema kesho tutoke ipo Ulaya huko na Marekani .Halafu inatuambia tukusanyikie mnazi mmoja ,?Kariakoo.Yenyewe itaungana nasi kwa ungo au.Pu mbavu .Et "tutoke" wakati wewe upo New York. Ma mae.
Muda wa drama umeisha sasa tufanye kaziWe hadhi yako ni kuangalia tamthilia za azam na kuliwa na waarabu
Kwa hakikaUlinzi ungekuwa hivi siku zote utekaji isingekuwepo
Tena wasijichanganye .manina zao.Andamaneni hukohuko
Mkitoka tu na kuharibu Mali na miundo mbinu mtakula za vichwa
Samia huyoAjuza tulia ndani tuliiiii,haya
ya kutoka hayakuhusu
Mkuu vyombo vya ulinzi vya Taifa hili ni vya kipuuzi sana. Hata juzi kanali Uwongostino Polepole alipowapiga mkwara walianza kuahangaika mitaani. Mbaga Jr ni shahidi.secretarybird kafanya watu wamenunua dagaa wa mwezi mzima duuh
Walau umewapa heshima sio hawa wahuni wasio ona madharaGen Z sasa 0912 imepita. Mmesafirisha watu hadi nje ya nchi kukimbia maandamano yenu ambayo yameandamana hewani. Acheni tufanye kazi sasa tufunge mwaka. Endelezeni mapambano mwakani.
π πAjuza tulia ndani tuliiiii,haya
ya kutoka hayakuhusu
Umeanza lini Madam? πKwani lazima kutoka?Nikiwa University nilikuwa ninakwenda sana Revolution square. Na kunji nilikuwa ninapiga maana yule mwanafunzi Mganda alikuwa mstari wa mbele.Yaani wale wahamasishaji tulipiga kunji nao.Tulitoka nao yaani.Sasa huyu Nuruvaz anasema tutoke yeye yupo nyuma ya Laptop huko German. Ma mama e
Kwani ndugu yangu unakuwaga na hasira za nini?Tutolee hapa ujinga wenu
Gen z wanyoko?