Nimeona!
Sasa kwa taarifa yako mimi hiyo picha nimeiSet as Desktop backround kwenye PC yangu hapa ofisini!Sipati picha mtu mzima upo offisini ukaamua kucheki jamiiforums kidogo (Sidhani kama jamiiforums imekatazwa maofisini) ukakuta kwenye homepage pale pameandikwa "ingia uone". Mtu mzima unaingia sasaaa ukidhani ni something to brighten ur day!!
Kidogo bosi anaingia na kukuta post #1 utapenda hapoo!!