Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,692
- 41,140
Salamu wana chit chat.
Hivi siku moja tunaamka tunakuta watu wote tumebadilika jinsi, yaani me wamekua ke na ke wamekua me ungefanya nini??
Hapo wife wako anaamka ndio mume wewe mke!
Binti zako wamekuwa wavulana and vice-versa
Je dunia ingekuwa nzuri zaidi ya wakati huu?
Kwa mtizamo wa wanawake ambao ndio watakuwa wanaume
We ke ungefanya nini??
We me ungefanya nini???