Ingekuwaje kama CHADEMA ndiyo wangefanya hivi?

Orodhesha ni Sheria gani inayoruhusu wanafunzi kuubiriwa Siasa. poor you

shule za kibaguzi, kiitikadi,kikabila ni haramu nchini..maccm hayajui yatendalo na msajili kwa vile ni waoa haoni tofauti ya black and white.

CDM wangambiwa kuwa wanapeleka siasa shuleni vijana hawasomi.
 
Naona akili zinakutoka kama dada zetu wakiwA mwezini,umesahau kuwa hizo shule ni za ccm,?

Kwani hao wanafunzi ni watoto wa CCM?

Hembu rudishia nyumbu akili yao bana.inawatosha hata kuwafikisha Masai mara na wakale honey moon na kurudi bongo kuendelea na life.Ila wewe hata kuitumie ikufiche choo huwezi.
 
Katibu Mkuu wa chama tawala akikagua utekelezaji wa ilani......achen wivu wa kike muacheni Kanali afanye kazi yke

Kazi anayosifika nayo Kanali ni kung'oa tembo wetu vipusa !

"Ile meli iliyokamatwa Hong Kong na PEMBE za NDOVU ni yangu lkn PEMBE hizo SIO ZANGU"-Kanali Kinana(Katibu Mkuu CCM) akijitetea kuhusu meli yake kukamatwa na shehena ya PEMBE Barani Asia
 
Naona akili zinakutoka kama dada zetu wakiwA mwezini,umesahau kuwa hizo shule ni za ccm,?

Chivalo pole sana,hvi ulizaliwa na mama wewe?.umejitoa akili kbs kwa ajili ya CCM mpaka unawatusi wazaz eti huwa wanatokwa na akili,mbaya sana na imeniuma kiukweli maana najua kuna kipindi mama ako alikuwa mwezin lkn bado ulimnyonya maziwa yako ili uish kwanin asingekutupa chin kama akil zimemtoka?,mi sijui siasa ila umeharibu kwa hli mkuu
 
Shida kubwa wachangiaji mtoa mada kaanza vizuri kwa kuchokoza mawazo chokozi.Ila sie wachangia tukuiona mchangiaji kasema ukweli ila unakukera kisa chama chako kimeguswa unabadilika na kuicha mada husika

Lengo la kuanzisha JF ni kubadilishana fikra lakini tumebadili lengo la zuri na kuanza malumabano yasiyofaa.Ndg badilikeni kwenye ukweli tukubali na pia mapungufu hivyo hivyo.

Naamini tutafika vyema kuliko kutoleana mane no yasiyofaa.
 
Kama chadema wasingekula milioni mia mbili waliopewa na mstafa sabodo kujenga chuo ha uongozi nao wangekuwa na taaisi kama ilivyo jumuiya ya wazazi wa ccm,kumiliki shule na vyuo vya ufundi,tatizo viongozi wa chadema wana ulafi sana.uzalendo wa majukwaani .shame on them
 
Chivalo pole sana,hvi ulizaliwa na mama wewe?.umejitoa akili kbs kwa ajili ya CCM mpaka unawatusi wazaz eti huwa wanatokwa na akili,mbaya sana na imeniuma kiukweli maana najua kuna kipindi mama ako alikuwa mwezin lkn bado ulimnyonya maziwa yako ili uish kwanin asingekutupa chin kama akil zimemtoka?,mi sijui siasa ila umeharibu kwa hli mkuu

Kama imekuuma,jitie kidole,halafu jinuse,ufurahi
 
Back
Top Bottom