Ingekuwa wewe ungemshaurije?

Swali tamu sana hilo. Maana tunazunguka sana mwisho tutarudi kwa daktari alisemaje? Asante khantwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu maana kama mtu kalala kitandani two years sasa hivi amefikia hatua ya kutembelea magongo ni wazi mwili wake unaendelea kuimarika siku hadi siku kwa hiyo tatizo hilo pia linaweza kuisha unless madakitari wamesema tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabla hujafa hujaumbika,MUNGU atuepushe,jamaa ana mtihani usio na marking scheme ila makisio tu,hyo hali imemuathiri yeye na mkewe pia,kwa kipind alichonacho mke mwenye busara hawez kukubali kuachika maana ataonekana kwa jicho la ubaya ktk jamii na hata yeye nafsi itamsuta
Hapo jamaa atumie njia nyingne ya kumridhisha mke japo kidogo mfano atumie viungo vyake vilivyokuwa havina matatizo mfano
1.kidole;kumpapasa na kunanihii navyo sehem ile(wakubwa mmeelewa)
2.mdomo;ampe maneno ya kumtia moyo mke japo yeye ndo mwenye tatizo,pia asione uvivu kulamba chumvi kwa ustadi ili amfikishe(wakubwa mmeelewa)
mengine ajiongeze
POLE YAKE SANA
 
Hayo mambo mbona ni ya ndani sana. Ndiyo maana tunashauriwa kutoshiriki tendo la ndoa nje ya ndoa, ni pamoja na kujiimarisha na majanga kama haya. Ndoa si tendo tu, mnakuwa mwili mmoja, kusaidiana kwa shida na raha. Mume wako ndiyo rafiki yako mkubwa. Kama wawili hao wameelewana, hata uume wa bandia mume anaweza kumchezea mkewe.
 
kwa jins ulvoandk yan unataka rafk ako akuachie mkewe dah yan hii dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Aiba nini maana ya ndoa?, tunashauriwa kuoa ili mambo kama haya mnakuwa bega kwa bega na mkeo, jamaa kitendo cha kumwambia mke waachane ni ishara ya kukata tamaa kutokana na hali aliyonayo. Mkiwa kwenye ndoa lenu ni moja tuu kwenye shida na raha muwe pamoja unlike kwenye mapenzi lazima mkiambiane nyakati kama hizo. So mke huyo aendelee tuu kukaa na mumewe maana hata angekuwa mke ndo ana matatizo jamaa angekuwa na mchepuko anaenda anapewa mambo anarudi kwa mke wake ingawa mapenzi yangepungua sana tu lakini ile spirit ya mume na mke still bado ipo. Kinachotakiwa mwanamke atafute mtu wa kuwa ana mpa mambo kisha anarudi kwa mumewake kimya kimya na mambo yaendelee.

Ingawa wanawake ni watu wa ajabu sana. Si ajabu kuona akianza kudinywa huko nje ataanza kubadilika mazima na kumtenga mume wake wa ndoa.

"mwanamke ajiongeze mwenyewe"

Ni hayo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri hili tatizo limetokana na mfumo wa neva kwenye uti wa mgongo kutikiswa ndio maaana mawasiliano yamekata. Just the way I think.
We

we jamaa ulizaliwa kwenye Shamba La vitunguu swaumu?
Kwani madakitari wamesema ni tatizo la kudumu haponi tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka jana walisema ni hali ya muda sababu ya operesheni lkini naona limekuwa tatizo endelevu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kuna vitu vinaweza kuja kuuwa urafiki wenu mbeleni mwanzo anaweza kuona ni sawa sababu anataka kutatua tatizo unajua mapenzi yalivyo mkuu yakinoga, hapana aiseee siwezi kukubali ata kama natoa msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mke hataki sawa ila mwambie mshikaji ajiandae kwa lolote kama tatizo lake likiendelea kuwa kama lilivyo. Binafsi nazijua akili za wanawake hawachelewi kubadilisha gia angani hatakama sio wote.
Ndyo apo tatizo maana ya mbeleni hayajulikani wataelewana kma wanavyoelewana Leo nashindwa ata nimsaidiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…