Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Upo sahihi mkuu ila nimezungumzia huo mfano kwa issue ya kujihisi kuwa na hatia.!
Kuna watu tu wapo hivyo, huwezi force kila mtu a behave kwa kuficha makosa Kuna wengine wanapata ahueni wakisema ukweli.!!
 
Unamaanisha wanawakewasaliti na wanaume wasaliti ila kwa kificho??
Ukweli wa mtu anaujua yeye na moyo wake, usaliti sio jambo la kulianika hadharani bnafs nlishakuwa msaliti kwa nliowahi date nao but hakuna ambae analijua hilo kwa sababu bado nlikua nawahitaji na itabaki kuwa siri yangu maana anaejua huyu n mchepuko au njia kuu ni mimi.
 
Hajasehewa huyo....

Aachane na huyo mwanaume lasivyo revenge itakuja tu hata baada ya ndoa...

Na huyo mwanaume aache ujinga anatakaje kuoa Malaya Tena....huko ulaya hamna Wanawake...
 
Tatizo sio kwamba huyo uliye kuwa nae hajawahi Salita huyu kaka aliye mchoma mkewe watu wake wa karibu wameongea naye ni msaliti pia hakuwa muaminifu kwenye ndoa yake ila why kamuuwa mkewe tena hao wasaliti ni hatari kwa hasira.
Haha' ngachokaa!!
Hii ndo maana halisi ya mkuki kwa nguruwe....
 
We umtak tena huyo jamaa sio vingnevyo na haupo tayari kuacha ulichokianza
Upo sahihi mkuu ila nimezungumzia huo mfano kwa issue ya kujihisi kuwa na hatia.!
Kuna watu tu wapo hivyo, huwezi force kila mtu a behave kwa kuficha makosa Kuna wengine wanapata ahueni wakisema ukweli.!!
 
Sema bado nashangaa kitu hapaa.. Huyu dada anaamini jama ake huko nje hagongii eti?????
ila wanawake bhana kujiongeza huwaga ni shida.. Yani Jamaa lazimaaaa ana demu huko NJE
 
Hajasehewa huyo....

Aachane na huyo mwanaume lasivyo revenge itakuja tu hata baada ya ndoa...

Na huyo mwanaume aache ujinga anatakaje kuoa Malaya Tena....huko ulaya hamna Wanawake...
πŸ˜€πŸ˜€
Wapo mkuu ila hilo ndo chaguo lake.!!
 
Haisameheki hiyo anamsubiri mwanamke ajae kingi nayeye amsaliti vizuuuri kumlpiza ase kuchapiwa ni jambo zito kwa kweli moyo huwa unawaka moto hatari.
 
Sema bado nashangaa kitu hapaa.. Huyu dada anaamini jama ake huko nje hagongii eti?????
ila wanawake bhana kujiongeza huwaga ni shida.. Yani Jamaa lazimaaaa ana demu huko NJE
Ila si huwa mnazitofautisha kesi zenu na zetu, nyie mkijipigia nje fresh ila kwa mwanamke ni kosa la jinai, Wanaume MUNGU anawazoom walaqhii'..!!
 
Mkuu hujawahi ku cheat maishani mwako??
Nime cheat,.. Ila nikifumwa sihitaji kusamehewa,... Issue ni moyo wa msamaha. Kusamehe sio jambo rahisi,.. Samehe na sahau... Usichukulie powa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…