Hapa ndipo point ilipo kama hajamkula au alimkula ila mara chache basi jamaa anataka tu asawazishe mambo apunguze maumivu ila kuhusu kusamehe ngumu sana hiyo kitu labda awe mwanaume sio hawa wavulana wa miaka ya leo, wanaume tuna mahesabu marefu😃nikuulize swali huyo jamaa alikua ameshammega huyo rafiki yako?
kama bado basi jamaa anataka aje apate kifuta jasho then asepe.
So wewe kusamehe na ku start afresh ni ngumu??Hapa ndipo point ilipo kama hajamkula au alimkula ila mara chache basi jamaa anataka tu asawazishe mambo apunguze maumivu ila kuhusu kusamehe ngumu sana hiyo kitu labda awe mwanaume sio hawa wavulana wa miaka ya leo, wanaume tuna mahesabu marefu😃
Kweli kabisa. kuna demu moja wa kinyarwanda alinizungusha kama miaka 2 hivi aligoma kabisa kunipa papuchi licha ya kwamba nilikuwa karibu nae mpaka kufika kulala nae kitanda kimoja. sikukata tamaa nikajifanya fala.baada ya mda nilihamia mkoa mwingine urafiki ukaendela lakini mapenzi nae yalikuwa yamekwisha.Hapa ndipo point ilipo kama hajamkula au alimkula ila mara chache basi jamaa anataka tu asawazishe mambo apunguze maumivu ila kuhusu kusamehe ngumu sana hiyo kitu labda awe mwanaume sio hawa wavulana wa miaka ya leo, wanaume tuna mahesabu marefu😃
Wanaume mbinguni mtaishia kupaskia walaqhi..!!Kweli kabisa. kuna demu moja wa kinyarwanda alinizungusha kama miaka 2 hivi aligoma kabisa kunipa papuchi licha ya kwamba nilikuwa karibu nae mpaka kufika kulala nae kitanda kimoja. sikukata tamaa nikajifanya fala.baada ya mda nilihamia mkoa mwingine urafiki ukaendela lakini mapenzi nae yalikuwa yamekwisha.
Siku ya siku akingia kingi akaomba aje kunitembelea. nikamkubalia akaja nikamtafuna wiki mbili mfululizo nikapunguza machungu ya kunizungusha miaka 2. Wanaume tuna mahesabu marefu.
mbona sana tu.Inawezekana eeh'..?
Kadai bado..!!
Yap,kwangu mm lakin,Una hakika??