Ingekuwa wewe, ungemshauri nini hapa?

Wanaume wa abroad wapo tofauti na sisi wanaume wa nchi ya CCM.

Huku kwenye nchi ya CCM ukihisiwa una cheat magunia ya mkaa yatakuhusu.
 
Me iliwahi kunitokea kumfuma demu wangu na boy mwingine na nikamsamehe vizuri tu bila kinyongo sisi ni binadamu hatujakamalika so tunapaswa kuwa na roho ya msamaha
Uliwafuma wakiongea na si akiwa amewekwa REVERSE COWGIRL!
 
Nakupa jibu kama mwanaume.
=> kama jamaa yake hakuwahi ku sex naye jua kuwa jamaa anasubiri arudi kisha ata sex naye na atamfanya kitu kitakachomfanya huyo dada ajutie maisha.
n.b
kiukweli hakuna kitu kinatuuma wanaume kama kujua mpenzi wako amekusaliti na ushaidi ukawa nao 100% (kama alivyomwambia jamaa) .so hapo hajasamehewi mtu simply simply.
 
Unaijua GUILTY?
 
kumbe kulia ndiyo gear yenu? (Leo ndiyo napata jibu(
 
Nimemshauri akimbie asigeuke nyuma hata hatua moja kwakweli.!!
 
Kuna siri za kuingia nazo kaburini, mojawapo ndio kama hiyo. Pole yake, ni kiranga chake kimemponza.
 
Hatari sana...

Long distance relationship ni mtihani sana...

Demu angekausha tu, asingesema chochote... Sababu hata jamaa yake huko anagonga vile vile na anakausha...



Cc: mahondaw
 

Hapo pa kulia nimepapenda, sasa sie wenye machozi ya mbali ya kutuback up sijui itakuwaje?
 
Dudu la yuyu limemnogea lazima atalifuta Ni sawa na kula nyama ya binadamu Tena Bora aachane na jamaaa
 
Kuna siri za kuingia nazo kaburini, mojawapo ndio kama hiyo. Pole yake, ni kiranga chake kimemponza.
Exactly..!!
πŸ˜€πŸ˜€ Kuna mtu alisema hapo juu ni kwenda kuisemea chooni ukitoka unatoka na uso wa tabasamu hata usishtukiwe..
 
Unchsema n kweli...mimi mwenyew naweza kusamehe....ila kaz ipo kweny kusahau....cwezagi....
Mungu atulinde! Mwanaume ukisalitiwa kichwa kinajaa mambo mengi mengi. Muda mwengine akili inahama inafikiria sasa nimfanyaje huyu?

Yaani hapo usipomshirikisha rafiki yako unayemuamini akupe mawazo Mungu wangu utafanya tukio la ajabu. Ukikiacha kichwa chako kifikirie utafanya tukio moja la ajabu sana.
 
Hatari sana...

Long distance relationship ni mtihani sana...

Demu angekausha tu, asingesema chochote... Sababu hata jamaa yake huko anagonga vile vile na anakausha...



Cc: mahondaw
Hapo pa kugonga na kukausha ni ukweli mchungu tusiopenda kuuskia.!!
 

Huyo msela naye atakuwa alikuwa anasaliti huko aliko.so anaona poa tu.mbona ngoma droo.ingekuwa msela naye alikuwa mvumilivu maumivu yake yangekuwa makali kabisa na angekubali tuu yaishe.hivyo jamaa naye atakuwa ni kiwembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…