Ingekuwa wewe ungefanyaje???

Brainiac

Senior Member
Jan 1, 2012
165
13
Mhindi baada ya kutoka kazini Kamkuta Mfanyakazi wake akifanya kazi:
Mhindi:-Juma! iko wewe fanya nini hapo???
Juma:-Namwagilia maji maua bosi
Mhindi:-Safi sanah, cheka kidogo!
(Mhindi aKaingia ndani)
Mhindi;-Mke wangu iko wewe fanya nini hapo???
Mke:-Napika chakula, Mme wangu.
Mhindi:-Safi sana, cheka kidogo.
(Siku nyingne mhindi baada ya kutoka kazini kamkuta Juma na mke wake kitandani wakifanya ukubwa)
Juma:-Bosi, iko mimi n.a.t.o.m.a.s.a mke wako, cheka kidogo
Kilichofata !!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom