Ingekuwa vipi?...

Ingekuwa vipi?...

Dotowangu

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
242
Reaction score
77
Najaribu kufikiria kama Jamii forums ingekuwa inafanyika sehem ya wazi kama uwanja wa mpira au zaidi ya hapo na hapo kuna haya majukwaa mbali mbali kama ilivo sasa hivi na mtu unaruhusiwa kuchangia post na kumove kutoka jukwaa moja hadi jingine...sasa siwapatii picha wanaokuwa online 24/7 na wanaopenda kuchangia kila post kama kongosho si wangekuwa wanachoka sana kwa kutembea na vipi wale wanaolalamika vitambi si vingeisha kwa kutembea kutoka jukwaa moja hadi jingine?...najaribu pia kufikiria hawa MODS wetu si wangepigwa mawe?....we unadhani jukwaa lipi wangeshikana mashati sana kama sio jukwaa la siasa na dini?...jukwaa la wakubwa si ingekuwa balaa kama BBA..? mi ningekaa zangu jukwaa la utani naondoa stress na mentor....we ungekuwa jukwaa gani kwa mda mrefu....
 
Nakusikiliza tu endelea.......enhe kingine unachotaka kusema?
Ps: kongosho akikupa za uso usije kulalamika hapa,umeyataka mwenyewe.
 
Nakusikiliza tu endelea.......enhe kingine unachotaka kusema?
Ps: kongosho akikupa za uso usije kulalamika hapa,umeyataka mwenyewe.
Hahahaaa siku hizi Kongosho amegundua anapiga za nyuma lol
utasikia Nduuuuuuuuuu
 
Last edited by a moderator:
Halafu wenye vitambi siunawaonaga wanapotea kwenye kuchangia hata week nzima.....
We sema unamtafuta Kongosho tu lol atakumaliza eti oooh ngoja aje uone
 
Last edited by a moderator:
Mi napiga chabo hapa.....
Teh halafu atakuja na jamaa yake Asprin kusaidiana kuuwasha moto
Wakija tu mi nahamia zangu Mapokezi kuna wageni wengi sana wananingoja kuwapokea
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa natembelea majukwaa yote ili nibaini kondoo wa Bwana waliopotea.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Ha ha ha dah...sijui ni edit kidogo?.. make mheshimiwa pancrease kumbe anapiga sana...itibid nikimbilie jukwaa la siasa make kule huwa hafiki.,lol.
 
Ha ha ha dah...sijui ni edit kidogo?.. make mheshimiwa pancrease kumbe anapiga sana...itibid nikimbilie jukwaa la siasa make kule huwa hafiki.,lol.
Jukwaa la siasa anaendaga atakubamba bora ukimbilie jukwaa la Elimu au sayansi na Tech
 
Back
Top Bottom