Mmeona kibanzi tu kwa wabunge wa Zanzibar, vipi boriti za wabunge wa bara (wa chadema na CCM), Dr. Harrison Mwakyembe alishasimama bungeni na kuwaita viongozi wa SMZ (awamu ya sita) "....watovu wa adabu...", kisa walikosowa kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, nakumbuka baada ya Mwakyembe kumaliza matusi yake, alisimama Mhe. Zitto Kabwe, kumpa mkono kwa maana ya kumpongeza. Vipi mshasahau? mshasahau kuwa wabunge wa Zanzibar walinyamaza kimya, hawakutaka hata muongozo wa Spika?