Ingekuwa Upinzani utarativu ungehitajika lakini kwa kuwa ni CCM haa tuwe wavumilivu

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Upo wapi usawa na sheria inasemaje juu ya maneno haya kwenye taasisi inayosikilizwa na idadi kubwa ya watu tanzania na hata nje ya nchi. Jana mbunge wa zanzibar alitumia maneno Upumbavu upuuzi na kusema kuwa jina la muheshimiwa lina maana fulani huko kwao ambayo hakuisema ni maana gani.

Nakumbuka kuna siku Mbunge wa Chadema alichangia akatoa mfano wa MH. Samweli Sitta (swala la afya) akakalishwa chini na wabunge wakawa wakali ila kwakuwa alikuwa anaongea wa CCM jana CHADEMA wakiomba utaratibu wanazuiwa.

JE HII NI HAKI NA SAWA KWELI?
 
CHADEMA hawana magamba ndio maana wakitaka muongozo hawapewi, CCM wanaogopa magamba yao yasichunwe
 
Makinda n kiongoz wa CCM anafahamu kuwa bila CCM asingekuwa spker, anajfunza kutoka kwa 6 il next tyme asiukose u spker.
Mwenye kisu kikal, anakula nyama.
 
Mmeona kibanzi tu kwa wabunge wa Zanzibar, vipi boriti za wabunge wa bara (wa chadema na CCM), Dr. Harrison Mwakyembe alishasimama bungeni na kuwaita viongozi wa SMZ (awamu ya sita) "....watovu wa adabu...", kisa walikosowa kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, nakumbuka baada ya Mwakyembe kumaliza matusi yake, alisimama Mhe. Zitto Kabwe, kumpa mkono kwa maana ya kumpongeza. Vipi mshasahau? mshasahau kuwa wabunge wa Zanzibar walinyamaza kimya, hawakutaka hata muongozo wa Spika?
 
Binafsi nilikerwa sana na maneno ya yule ma kinda..Lissu alikuwa hajibiwi kwa hoja,ilikuwa kama wanamtusi na kumdhihaki..anaomba utaratibu eti anajibiwa avumilie..Hivi angekuwa anaongea mtu wa chadema pale na mtu wa magamba akaomba utaratibu angeambiwa avumilie? Yule mama namchukia kishenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..........
 
Mmeona kibanzi tu kwa wabunge wa Zanzibar, vipi boriti za wabunge wa bara (wa chadema na CCM), Dr. Harrison Mwakyembe alishasimama bungeni na kuwaita viongozi wa SMZ (awamu ya sita) "....watovu wa adabu...", kisa walikosowa kauli ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, nakumbuka baada ya Mwakyembe kumaliza matusi yake, alisimama Mhe. Zitto Kabwe, kumpa mkono kwa maana ya kumpongeza. Vipi mshasahau? mshasahau kuwa wabunge wa Zanzibar walinyamaza kimya, hawakutaka hata muongozo wa Spika?

Hapa wanaongelea wabunge wa CCM na wa upinzani siyo Ubara na Uzanzibari...
Bahati mbaya mbunge anayeongelewa wa CCM anatokea Zanzibar jambo unaloliona.
Hata hivyo naheshimu maoni yako...
 
Mimi sioni ajabu, sker lazima afanye siasa chafu za ccm at times, hawezi kuacha ccm wabamizwe wakati wote kwa hoja. Kwakuwa anajua wabunge wa ccm hawawezi kujibu kwa hoja, (angalia hata Wasira leo) inabidi aache mipasho ya kashfa na lugha isiyo na staha itumike bungeni ili kukiokoa chama kilichomuweka hapo....japo amekuwa spker kwa kigezo cha kuwa mwanamke.
 
Umemjibu vizuri sana Bishop Hiluka hapa hoja sio uzanzibar na ubara ni chama na sheria za bunge
Hapa wanaongelea wabunge wa CCM na wa upinzani siyo Ubara na Uzanzibari...
Bahati mbaya mbunge anayeongelewa wa CCM anatokea Zanzibar jambo unaloliona.
Hata hivyo naheshimu maoni yako...
 
Nina imani kubwa sana moyonio mwangu kwamba iko siku moja yote haya yatabadilika na CCM watajutia ujinga walioufanya kwa wananchi wao waliokuwa wakiwaamini sana miaka ya nyuma. Mungu tuongoze katika hili
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom