Ingekuwa ni wewe ungemshaurije?

Swala la kuoa sio dogo ukurupuke tu kuishi na mwanamke, hata kama unajipigia bure hyo sio sawa, hayo yote yamesabibishwa nayeye kwenda kuzoa takataka zilizozalishwa huko, angefuata taratibu akaoa,
 
Tukiachana na mtoto, hapo kwenye dini tu ni changamoto tosha....Kama kwenye mahusiano tu unaanza kuwa hivi Basi hiyo ndoa itakukondesha.....hebu amua kuchagua change furaha katika maisha yako.
 
Swala la kuoa sio dogo ukurupuke tu kuishi na mwanamke, hata kama unajipigia bure hyo sio sawa, hayo yote yamesabibishwa nayeye kwenda kuzoa takataka zilizozalishwa huko, angefuata taratibu akaoa,
umeeleweka mkuu
 
Umenunua simu ya 1.4 na bado unatukanwa.

Iyo ya kupasua vioo vya gari huko ni kutafutiana sababu za kufungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka miwili hujamtia ata mimba??

Kwahiyo umemwambia dogo asubiri umuombee ushauli Jf??

Uyu dogo mbona kama ni wewe mwenyewe?

Nawaza tu.
 
Kwani unamaanisha kutekenya gani? Mimi ninajua kunifinya mbavuni. Kumbe umeenda mbali hivyo? Pole dume mwenzetu!
Una uhakika 100% mi kidume?

Utachekwa ujue.

Anyway hujanizoea around here, hujui mind set yangu ama ninavyoandika.

Wewe ni wa juzi tu afu unatafuta nitoke vipi kupitia kwangu.

Mpaka hapa nisha stoop sana kwa ku argue na wewe.
 
Tatizo ni uandishi, na ndio maana nina-doubt! Yaani una muandiko umekomaa kama kifuu cha nazi. Unakomaza sana muandiko!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…