Ingekuwa ni wewe ungemshaurije?

nothing is impossible under the sun.
there is no way always there is a way.
kwa wao binafsi hawawezi kumaliza hizo tofauti zao sababu akisema alazmishe huyo samaki atavunjika!!
na ishu mbaya zaidi km hajamtambulisha popote hapo pia kutakuwa na sintofaham!!
ajaribu kwa watu wazima ambao wanaweza kuwakalisha chini wakapewa somo zuri la mahusiano labda atabadilika.
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Mabinti wa hivyo uwa hawabadiliki na hawaridhiki.
Mdogo wako hatoendelea kazi yake itakuwa kumridhisha huyo bidada na mbeleni atamuumiza sana.
Narudia tena, mabinti wa dizaini yake uwa hawaridhiki.
Ushauri tu aachane naye.
Asante mkuu nimeupokea ushauri
 
Fikiria hatua aliyofikia mtu aliyezaa nae akamuacha mama wa mtoto wake,ni dhahiri tabia zake hazivumiliki...Huyo hapendi maisha ya ndoa atamtesa dogo kisaikolojia,kiuchumi na mwisho ataondoka tu
 
Ni kweli mkuu,nafikiri antakiwa afanye maamuzi ya kiume Tu
 
Majuzi mdogo wangu alinitembelea nyumbani baada ya stori za hapa na pale akanieleza sababu ya kunitembelea.Akanieleza kuhusu matatizo yanayomsibu katika mahusiano yake,maelezo yake yako hivi.

"Bro nimekaa na mchumba wangu kwa muda wa miaka miwili sasa licha ya tofauti zetu za kidini mimi kuwa mkristu na yeye kuwa muislam,Kwa umri 29 na yeye 24 miaka.Mchumba wangu huyu ana mtoto mmoja ambaye anaishi kwa wazazi wa mwanaume aliyeachana nae,Nilitokea kumpenda sana huyu mwanamke lakini naona kadri siku zinavyokwenda ni kama yeye anakuwa chanzo cha kufanya mapenzi yangu kwake yapungue tena kwa kiwango kikubwa sana!Mapenzi ndio yalinifanya:-

1.nikomae kiume nihame toka kwenye kupanga chumba na kwenda kupanga nyumba nzima kama ambavyo alikuwa akitamani siku zote

2.nimepigana vita ya jihad kuhakikisha anakuwa na simu nzuri kama ambavo siku zote ametamani(yenye thamani ya zaidi ya 1.4M) "aliimba msanii O-ten,akipendacho binti mwanaume lazima atanunua"

3.Japo wanasema hutakiwi kukumbushia ukisamehe lakini Nimemsamehe makosa mengi sana hapo nyuma yakiwemo kuchelewa kurudi om bila taarifa na kurudi akiwa amekunywa/lewa zaidi ya mara 15,kuchelewa kupika,kuondoka bila kuaga

4.Nivumilie majibu yake mabaya,kununa nuna bila sababu,kumhudumia kwa kadri Mungu alivyonibariki katika haso zangu

5.Kutulia na kufocus na yeye na kuwaweka wanawake wengine kando ili kutengeneza future na yeye lakini naona kama bado hanielewi

Sasa kila nikimtazama namuona kama mtu ambaye hana focus,huwezi amini kwa miaka yote hii miwili hakuna siku aliyowahi nambia tujadili jambo la msingi au maendeleo zaidi ya kuomba hela za matumizi.
nlimwahidi kumfungulia biashara lakini napata hofu na wasiwasi mkubwa kama ntapigwa hela sababu sioni focus yake katika maisha.

Kwa miaka yote hii miwili amekuwa ni mtu ambaye yupo tu home hana msukumo au kuonyesha dalili zozote za kutaka kufanya kazi ni mpaka mimi nianzishe mada na kumwambie nataka afanye kazi sababu maisha yanabadilika.

Mpaka leo ni mtu ambaye hawezi kukwambia kazi njema ukitoka wala kukwambia za kazi au pole na kazi ukirudi na akifanya hivyo ni mpaka ajiskie tu
Tumekuwa tukigombana mara kwa mara hasa mwaka huu na mara nyingi tukigombana basi yeye huamua kuondoka na kwenda kwao sababu si mbali sana na hapa tunapoishi(sh 1000 tu kwa boda boda) na atakaa kimya asinitafute mpaka mimi ntakapomuanza.

Kisa hiki ndio kilichonleta kwako,majuzi baada ya kuamua kumtoa out sababu muda mwingi anakuwa bored kuwa home tukawa tumepata kilevi(wote tunakunywa).Tukiwa bar kuna majibu alinipa ambayo sikupendezwa nayo,tulivofika om aliendelea kunijibu vibaya nikaamua kumpiga naye akaamua kuchukua mawe na KUPASUA VIOO VYA GARI YANGU kama namna flani ya kulipiza kisasi na matusi juu,ambapo ameniingiza katika gharama kubwa za kutengeneza gari na ukizingatia bado namhudumia yeye,nalipa kodi+majukumu mengine

Baada ya kisa hiki nimekuwa nikiwaza mambo mengi hasa nikijumlisha na hayo yote nliyokuhadithia.kwasasa tupo hatuongei sana kama mwanzo ila tunaishi pamoja mimi nikienda kwenye mishe zangu huku yeye akiwa yuko home,Je wewe unanishaurije kuendelea nae au kuachana nae?

Je ungekuwa wewe ungemshauri nini Dogo?
Apige chini amove on bora akatafute mwingine kuliko kufa taaratibu kwa stress
 
Je baba mtoto wa mke wake anasemaje kuhusu huyo mwanamke, kusikia kwa kenge...
 
Mwambie kwamba mwanamke abembelezwi. Mbususu zipo nyingi sana hapa duniani. Na pia next time akiwa kwenye mapenzi lazima awe na michepuko walau miwili. Bila mchepuko mwanamke anajiona yeye keki
 
Kuna vitu inabidi ujiulize, why aliyezaa nae hawapo pamoja. Ilo siku zote ndio inabidi liwe swali la kwanza
 
Ila watu wengi banaa HILI NALO ANAOMBA USHAURI?

Ila kweli tusioa tunaepukana na mengi aisee.

#YNWA
 
Mwambie kwamba mwanamke abembelezwi. Mbususu zipo nyingi sana hapa duniani. Na pia next time akiwa kwenye mapenzi lazima awe na michepuko walau miwili. Bila mchepuko mwanamke anajiona yeye keki
Umesomeka mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom