HAPANA,SI KWELIPole mleta mada, pamoja na kumframe mdogo wako lakini hili tatizo ni lako wewe.
U never know, yawezekana ikawa hivyo.Ni kweli Mkuu
Pengine naye yalimshinda
Duh,haya sawa mkuuHii stori mbona inakuhusu wewe mwenyewe sio mdogo ako![]()
umeeleweka mkuuMwambie aachane naye atafute Mwanamke mwingine.
Kwa hiyo wewe hudekezi mwanamke.alishakosea toka mwanzo..waswahili wasema SAMAK MKUNJE ANGALI MBICHI.
toka mwanzo dogo angeweka misimamo mikali hayo mazoea yasingekuwepo!
wanaume wengi siku hizi wanadekeza sn wanawake hivyo kupelekea mwanamke wako kukuona wee km mwanamke mwenzie..
Wewe ni dume!Atemane nae tu.
She is a disturbed woman atampotezea focus ya maisha yake.
Alitakiwa awe humble na anyooke hasa kwa vile amekutana na mwanaume aliemkubali pamoja na kwamba ana mtoto tayari.
Drop her! She ain't worth your time, efforts or energy.
Hapana, ila mmmh! Dume wewe, hebu badilisha hilo jina.Una Kazi na mimi?
Kuna huduma labda unataka?
Linakutekenya?Hapana, ila mmmh! Dume wewe, hebu badilisha hilo jina.
Asa jamani vitu vingine haviitaji hata ushauri hivi kwa maelezo hayo kuna kujishauri mara mbili kweli?yaani unakuwa na long term plani za nini kwa mtu kama hyoasante mkuu,kama nimekuelewa vizuri anataka kumuacha lakini ni kama anasita sita
Dogo anapambana na mfupa ulomshinda fisiKuna vitu inabidi ujiulize, why aliyezaa nae hawapo pamoja. Ilo siku zote ndio inabidi liwe swali la kwanza