Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,689
leo nlikuwa muhimbili kuna jamaa yangu mgonjwa nikasema nimpe hi mida ya mchana badala ya kwenda lunch nikaona nikampe hi mshkaji asije ona kama tumemtosa. basi nikawa napita mitaa flani nikaona ngoja nikae kidogo sababu nliwahi sana na muda wa kuona wagonjwa ulikuwa bado. basi nimekaa pale na raia wengine mara akaja dada mmoja mrembo akiwa ametokea chumba flani hapo hapo kwenye hilo jengo.
yule dada alikuwa mashallah.. asikwambie mtu.nikamwona anaondoka.. nikawa sasa nashindana na moyo. shetani anasema mfuate malaika anasema mpige chini.... na mimi kama bwege nikamsikiliza shetani nikainuka nikakaza mwendo nimkute njiani. basi nikafika usawa wake nikamsalimia.alijibu vizur... nikamuuliza kama anafaham shemu nzuri ya chakula mle ndani.
akajibu anafaham ingawa si kizuri sana but angalau.nikamwomba kama tunaweza kwenda wote akakubali.basi tukatembea tukiongea mawili matatu.baadaye tukakaa sehemu tunakula na kunywa. ndo nikamwambia kuwa mimi mahisi nimewahi kumwona pale muhimbi kama miezi 3 ago.akasema ni kweli huwa anakuja.na akaniuliza kama nami huwa nakuja nikajikuta tu namwambia ndiyo.
basi ndo akaanza kusema " unajua watu wengine wanatubagua sisi tulioathirika wakiona kama hatufai tena kupendwa au kupendana. nashukuru kama sasa ntakuwa na mtu ambaye tutakuwa wote tunafaham madhara ya kunyanyapaliwa. maana mchumba wangu alivyogundua nimeathirika akakata na mawasiliano"
moyo ukafanya paaaaah! kumbe yule dada alikuwa ametoka kupata dawa na alidhania nami nimetoka kupata dawa kwa maana ya kuwa ni mwenzie. mashine muda mwingi ilikuwa imesimama lakini ghafla ikalala usingizi mzito sana. mapigo ya moyo yakaanza kwenda kasi.kuja kushtuka hata muda wa kwenda kumwona mshkaji umepita nikapeana naye namba za simu nikaaga.nimekuja ofisini akili haijakaa sawa. maana yule dada ni dhahiri ningempiga kavu.maana ana vutia sana na umbo lake linapendeza. lakini kumbe ana ngwengwe.