Ingekuwa mkeo ungefanyaje?

Ingekuwa mkeo ungefanyaje?

SweetyCandy

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4,798
Reaction score
8,982
Kuna dingi mmoja makamu alikuwa kiwembe sana akazunguka hadi basi shida ni mtoto mwingine maana alibahatisha mmoja tu.

Sasa kwenye kuzunguka kwake akafanikiwa mwanamke mmoja ambaye kweli alibahatisha kushika mimba .
UBaya ukaja huyu dada ni mke wamtu nayule dada alisema mme wake ni mwanajeshi .

Huyo baba akamtorosha huyo mama nchi na watoto wake 2 maana walikuwa wadogo na wanahitaji mama yao.
maisha yakasonga na mume akatoka kazini aligonga sana hakuna hadi saa moja ndio mama mkwe akaja na ufunguo akamwambia mke wako kasafiri . Ila hakusema kaenda kuzalia huko.

Mwamba hajaamini ....
Akaanza kuuliza uliza unajua wanawake ni watu nyoka sana makenge mno mbwa hawa .

Rafiki yake huyo dada mke wa jeshi akamchomolea mwenzake akampigia misumari yakutosha , basi huyo baba alileta noma kwenye familia yake ila chakushangaza ni mama tu ndio alijua akashangaa nani kamwambia basi .

Huyo mwanajeshi akamfikia mke wake wakaachana kwa amani.
Huyo njemba alikuwa anahela ila hamshindi yule baba.
ILa nusu aue wakwe zake alipogundua ilikuwa mshike mshike .
 
Soma tena ulichoandika
 
Inaonyesha hii mada wataelewa waliooa tu...🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom