Ingekuwa leo ndio uchaguzi....Hali ingekuwaje...CCM?

Ingekuwa leo ndio uchaguzi....Hali ingekuwaje...CCM?

Dahh wewe kweli nyumbu!

Mkapa ana akili sana aisee, alitoa jina likafit mara moja
 
Sioni dalili zozote za chamapinduzi kung'oka! Endeleeni kusogeza siku tu kujifarijifariji...
 
Uchaguzi hata Urudiwe leo kesho... sio Magu wala Lowassa.
Bora nimpe Mwanamke mwenzangu mama wa ACT.
 
Back
Top Bottom