ingekuwa africa si angezikwa mzima..

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
Tukio la Fabrice Muamba limenifanya nifikiri kuwa
kuna watu wengi katika dunia ya tatu wanazikwa
wakiwa hai na hii inatokana na umaskini wetu
unaosababisha kukosa vifaa vya uhakika, kukosa
uwezo wa kuwapa mafunzo zaidi madaktari wetu
pamoja na kushindwa kuwalipa kiuhakika....
Hebu imagine mtu alishindwa kupumua kwa masaa2/moyo haudundi...
 
Mkuu naomba unifafanulie hilo tukio kama hutojali maana niko huku vijijini na sina access na tv
 
Ilikuwa game ya fa cup kati ya bolton na totenham... Ktk uwanja wa totenham... Sasa huyo middle wa bolton ''FABRICE NDALA MUAMBA'' muingereza mwenye asili ya congo ana miaka 23 mnamo dakika ya 42 ya mchezo alidondoka ghafla katikati ya ground/ali'collapse (cardiac arrest) akazima kama vivien foe wa cameroon.. Jamaa akawa hapumui na doctors walitumia 6 minutes kwenye pitch kumrudishia mapigo ya moyo.. After that he was taken to hospital and he was fighting for his breath till now he's back to life anaongea anafanya body movt..
JE HUKU KWETU AFRICA KWA STYLE HII TUNGEKUWA HATUJAMZIKA HUYU!!!??NA JE ITAKUWA TUMEWAZIKA WANGAPI KWA STYLE HII? Skype
 
Ilikuwa game ya fa cup kati ya bolton na totenham... Ktk uwanja wa totenham... Sasa huyo middle wa bolton ''FABRICE NDALA MUAMBA'' muingereza mwenye asili ya congo ana miaka 23 mnamo dakika ya 42 ya mchezo alidondoka ghafla katikati ya ground/ali'collapse (cardiac arrest/shinikizo la moyo) akazima kama vivien foe wa cameroon.. Jamaa akawa hapumui na doctors walitumia 6 minutes kwenye pitch kumrudishia mapigo ya moyo.. After that he was taken to hospital and he was fighting for his breath till now he's back to life anaongea anafanya body movt..
JE HUKU KWE2 AFRICA KWA STYLE HII TUNGEKUWA HATUJAMZIKA HUYU!!!??NA JE ITAKUWA TUMEWAZIKA WANGAPI KWA STYLE HII? @SKYPE

Duu! Kweli kaka huyu tungelikua tushamzika kitambo sana ila sasa kwa tukio hilo naanza kupata mawazo mapya juu ya kifo cha Mark Vivien Foe (RIP). Ok hayo tumwachie Mwenyezi Mungu ila tujitahidi kujituma zaidi kuliko kutumia mazoea.
 
Ilikuwa game ya fa cup kati ya bolton na totenham... Ktk uwanja wa totenham... Sasa huyo middle wa bolton ''FABRICE NDALA MUAMBA'' muingereza mwenye asili ya congo ana miaka 23 mnamo dakika ya 42 ya mchezo alidondoka ghafla katikati ya ground/ali'collapse (cardiac arrest/shinikizo la moyo) akazima kama vivien foe wa cameroon.. Jamaa akawa hapumui na doctors walitumia 6 minutes kwenye pitch kumrudishia mapigo ya moyo.. After that he was taken to hospital and he was fighting for his breath till now he's back to life anaongea anafanya body movt..
JE HUKU KWE2 AFRICA KWA STYLE HII TUNGEKUWA HATUJAMZIKA HUYU!!!??NA JE ITAKUWA TUMEWAZIKA WANGAPI KWA STYLE HII? @SKYPE
Hili ni tatizo linalowakuta sana wanamichezo, hasa wa mpira na riadha. Shukurani kwa maendeleo ya tiba na teknolojia, nchi zilizoendelea mara nyengine hufanikiwa kuwaokoa maisha, na kuna vitengo maalumu vinafanya utafiti kuhusu tatizo hili.

Ama hilo la mtu kuzikwa akiwa hai, nina hakika kuwa kwetu linatokea mara nyingi. Mtu akifumba macho tu anafukiwa bila ya madaktari bingwa (kama wapo) kutoa kibali. Ni umasikini na kukosa uelewa, kwani kwa wenzetu mpaka daktari athibitishe kifo ndio mtu azikwe.
 
tusiombee itokee pale uwanja wa taifa au kule Amahoro..uwii..mpk afike temeke hosp..au muhimbili..au Pale Gahinga Hosp..cjui itakuaje
 
tusiombee itokee pale uwanja wa taifa au kule Amahoro..uwii..mpk afike temeke hosp..au muhimbili..au Pale Gahinga Hosp..cjui itakuaje

Hii kitu inatokea sana mchangani mkuu... Huku hakuna dokta wala nini watu kibao wana'collapse'' na kwa kiasi kikubwa sanaaa.. Ikitokea utasikia eti oooh chunusi mara majini/kafara kumbe mambo ya kawaida.... Huko dar vile viwanja vya kawe tanganyika packers vinaongoza kwa haya matukio
 
Hii kitu inatokea sana mchangani mkuu... Huku hakuna dokta wala nini watu kibao wana'collapse'' na kwa kiasi kikubwa sanaaa.. Ikitokea utasikia eti oooh chunusi mara majini/kafara kumbe mambo ya kawaida.... Huko dar vile viwanja vya kawe tanganyika packers vinaongoza kwa haya matukio​

na huwa wanapona bila hata madaktari au?...wanawakimbiza hospital..maana kama ni mchangani cdhani kama kuna dr pro...ambaye anaweza kutoa First Aid ..ok!..kwa kuwa huwa inatokea basi mungu anasaidia
 
Hili ni tatizo linalowakuta sana wanamichezo, hasa wa mpira na riadha. Shukurani kwa maendeleo ya tiba na teknolojia, nchi zilizoendelea mara nyengine hufanikiwa kuwaokoa maisha, na kuna vitengo maalumu vinafanya utafiti kuhusu tatizo hili.

Ama hilo la mtu kuzikwa akiwa hai, nina hakika kuwa kwetu linatokea mara nyingi. Mtu akifumba macho tu anafukiwa bila ya madaktari bingwa (kama wapo) kutoa kibali. Ni umasikini na kukosa uelewa, kwani kwa wenzetu mpaka daktari athibitishe kifo ndio mtu azikwe.

True fact...
Ila marc vivien alivuta ukweliukweli wajua ile michuano ilikuwa mikubwa/olympics 2003
 
Tukio la Fabrice Muamba limenifanya nifikiri kuwa
kuna watu wengi katika dunia ya tatu wanazikwa
wakiwa hai na hii inatokana na umaskini wetu
unaosababisha kukosa vifaa vya uhakika, kukosa
uwezo wa kuwapa mafunzo zaidi madaktari wetu
pamoja na kushindwa kuwalipa kiuhakika....
Hebu imagine mtu alishindwa kupumua kwa masaa2/moyo haudundi...

inamaana Afrika wanapenda kuzika sana hee!
 
kwahiyo huyu muamba alivuta kwa muda ..sababu ni EPL?...

Heheheh aaafu weeewe bwana... Nlivyosema michuano mikubwa nlimaanisha kulikuwa na full equipments na specialists kwa hiyo kama alikufa ilikuwa sio suggestion.. Na nimesema hhivi kwakua kuna mdau alisema alipata shaka kuwa vivien foe hakufaga mapema vile...
 
inamaana Afrika wanapenda kuzika sana hee!

Ukisoma post za awali utaelewa nini kinazungumziwa..
OK FACT NI KWAMBA NCHI NYINGI ZA KIAFRIKA HAZINA EQUIPMENTS ZA KUTOSHA, SPECIALISTS AMBAO WAKO STAND BY (ikumbukwe kuna cardiac specialists na ni vigumu kuwakuta kwenye game zetu),.. Huwa tunakubali matokeo upeesi tukiona moyo haudundi,halafu ikatokea victim kaamka kwa uwezo wa mungu tunaanza kukimbia eti mzukaaa
 
Kabla ya Dr. kuna watoa huduma ya kwanza ambao hurahisisha uponaji, huokoa maisha kama walivyofanya ka huyu mchezaji, Huku kwetu huduma ya kwanza hakuna na mtu asipopumua ni PASIMOTO moja kwa moja.

MaDr. ndio hao wamegoma ili wapate vitendea kazi tafsiri ni wanataka masilahi yao, TUTAENDA KWELI???????
 
Ehehehe wajua tupo gizani ngoja tuendelee kupapasa kutafuta mlango... AFRIKA SISIIII
 
Back
Top Bottom