ingekua wewe ungefanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ingekua wewe ungefanyaje?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mtanzania haswa, Apr 16, 2012.

 1. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna jamaa mmoja alichukua demu na kwenda nae gesti, kufika gesti demu akavua nguo zote na kisha kumwambia jamaa kuwa bila elfu 10 hapati kitu...du jamaa akapagawa akaanza kujisachi zikapatikana shilingi 9900, demu akakataa akawa anavaa nguo zake aondoke mala jamaa akasikia pesa ikidondoshwa dilishani kuangalia ilikua shilingi 100....
   
 2. driller

  driller JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  so jamaa akala mzigo....! vipi ulimdondoshea wewe nini..!
   
 3. C

  Chassarsenal Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We unaonekana ni mpiga chabo mzur sna
   
 4. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Chabo,noumer!
   
 5. E

  EMMANUEL MKINGA Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahhahahahahahahahaha!!!!!!!! mi ningeendelea tu waache wengine wale chabo!!!!!!! teh teh
   
Loading...