ingekua wewe ungefanyaje?

ingekua wewe ungefanyaje?

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
kuna jamaa mmoja alichukua demu na kwenda nae gesti, kufika gesti demu akavua nguo zote na kisha kumwambia jamaa kuwa bila elfu 10 hapati kitu...du jamaa akapagawa akaanza kujisachi zikapatikana shilingi 9900, demu akakataa akawa anavaa nguo zake aondoke mala jamaa akasikia pesa ikidondoshwa dilishani kuangalia ilikua shilingi 100....
 
so jamaa akala mzigo....! vipi ulimdondoshea wewe nini..!
 
Back
Top Bottom