Ingekua wewe ungefanya nini?

Najinyonga basi uchukie vizuri. Rubbish 🀣
Relax. Mkeo hakuzini. Ni mawazo yako tu yanakutuma hivyo. Na usijinyonge maana inaonekana una emotional intelligence ya kiwango cha chini sana. Take it easy please. Binti kajua kukurusha roho huyo. Anacheza tu na saikolojia yako huyo πŸ˜‚
 
Relax. Mkeo hakuzini. Ni mawazo yako tu yanakutuma hivyo. Na usijinyonge maana inaonekana una emotional intelligence ya kiwango cha chini sana. Take it easy please. Binti kajua kukurusha roho huyo. Anacheza tu na saikolojia yako huyo [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emotional intelligence
 
Naingia na mie bafuni nikale mbususus....vikojoleo havihusiki na ugomvi wa midomo
 
Hatari sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] emotional intelligence
Bila kuwa na high emotional intelligence utateseka sana hapa duniani. Ni ya muhimu kuliko IQ.

Vipi. Uliikuteje? Ni kama ulivyoizoea ama? πŸ˜‚πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…