Utafanyaje
Hii ishu wanaichukulia utani lakini ni ishu nzito sana kisaikolojia unaweza hata kuua usipokua makini..Nitafanya hivi !!
Nitataka kujua kilichotokea.Either kwa kumuuliza or Kukagua. Nikijiridhisha nitafanya maamuzi kulingana na data ya matokeo.