Ingekua wewe ungecheza namba ngapi?

ningecheza namba 6 kwasababu namba 6 anazunguka uwanja mzima.
 
6,1,3,2 then namba ya kufungia ambayo hapo haionekani yakhe.
 
Mimi kwa hapa itanipendeza nikiwa mshangiliaji
 
Namba 7 kiungo mshambuliaji,kisha 1 kuja kulinda goli mwisho beki namba 2.
 
Mimi napiga 11 tu, wala siulizi.
Kwa wasioiona 11 ipo chini kidogo ya 2.
 
namba 9 ndio kila kitu. ona mahali ilipo. mnataka d.d. tu. hamtaki pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…