Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

Pole sn,nikikumbuka mie vinaniumaaaaa..maisha lzm yaendelee.
 
ndugu mambo mengi mabaya nimemfanyia nisingependa kuyaandika hapa moja kwa moja pleasee
Natambua kila mtu duniani ana madhambi yake na wengi huamua kuficha yale ambayo wanayafanya kwa kuamini kuwa wataonekana wabaya,kumbuka tu kuwa kila mtu ana ubaya wake na ndio maana kila mara kwa wale wanaoamini kuwa Mungu yupo basi hutubu.
Inawezekana ukaona hayo uliyoyafanya ni makubwa sana ila kwa wengine yakaonekana ni ya kawaida,unaweza kutafuta namna ya kuyaweka yakaeleweka hapa na ukatoa somo pia kwetu maana kupitia kwako tutajifunza na kama kuna ambaye anayafanya basi anaweza kubadilika kupitia kwako,naamini kabisa kuwa umaana wa kuwepo JF ni pamoja na sisi kushea vitu ambavyo vinatutokea,jitahidi kuweka wazi kilichokukuta na utaona faida yake mkuu.
Bado nazidi kukupa pole kwa yote unayoyapitia maana maumivu yako ni wewe pekee unayeyajua.

He he he, tena mmeo kajitia bize kweli

Mmwage tu, kuna kiserengeti kipya kimeingia mjini, ntakuwa nakupa mara moja moja tunashare.

Kusutwa suna, nina phd ya umbea

Hujaitwa unaitika, ukiitwa si utakuja umevua pichu kabisa! LOL
Namtahazalisha tu, asinipoteze halafu naye akaja kulia huku. Nyumba ndogo mmh; si ataninyanyasa baada ya kumfanyia vitimbi. LOL
 
Kila kinacho kuwepuka kina kheri na wewe, sa nashangaa kukuona unalia:biggrin:
 
Am so sorry that sikubaliani na wewe because of the following;
1.Mwanaume ni kiumbe tu kama walivyo viumbe wengine i.e wanawake waliumbwa wakiwa wana huzuni,furaha,huruma,upendo na hata masikitiko,kwa hiyo kulia is just an outcome of one of the feelings a man can face and feel like droping tears.Hata Yesu alitoa machozi kwa ajili ya kifo cha rafikiye Lazaro,so do you mean he was showing like Mungu alikuwa amekosea kumumba as a man?

2.Wataalamu wa afya wanasugest kuwa unapohisi too much pain in your heart usisite kutoa machozi au kulia ikiwa ni njia ya kupunguza maumivu moyoni na wala hawakuspecify kwamba ni wanawake pekee ndo wanaopaswa kudrop tears,meaning ni ruksa kwa mwanaume kudrop tears pia anapohisi too much pain kupunguza huo uchungu.

3.Ni kweli wanawake ni wengi sana duniani kushinda wanaume lakini i hope utakubalina nami kuwa si kila mwanamke anafaa machoni pa mwanaume fulani na wala si kila mwanaume anafaa machoni mwa mwanamke fulani,meanig to be with someone depends on the feeling u have towards the person na sio upatikanaji wa hao watu,so na yeye amekuwa attracted na huyo tu japo alikuwa amemkosea.

4.Kukubali makosa yako na kukiri sio udhaifu kwa mwanaume bali ni kuonyesha jinsi ulivyo na ujasiri,coz i hope unafahamu ilivyo ngumu kwa watu tulio wengi duniani hapa kuukubali udhaifu wetu na kukiri makosa.

5.Moyo wa mwanaume sio jiwe,una damu na normal vein kama za mwanamke na wala hauna extra particles au vein zinazomfanya awe na hisia za jiwe au kama mti.
Nakubali kuwa mwanaume lazima ajiikaze lakini to some extent lazima tukubali kuwa inafikia wakati hata yeye anahitaji msaada na some break jamani.

Ni hayu tu mkuu who Cares.
dogo...listern up..

Mungu hakuwa mpuuzi kukuumba wewe kidume unless kwa hizi regrets na kulialia unaonyesha kama god alikosea kukuumba kidume vile...u heart is too soft to be called a heart of man.

A man was born to die continuously and to start afresh....wewe mbona unaanguka inakuwia ngumu kuinuka..the mourning dayz are over kid..just get up compose urself n hit the streets harder...kama vipi jaribu kuchungulia kwao na huyo demu alekumwaga unaqweza kukuta masalia ya species kama yeye i.e. Her young sis or bug sis..tongoza mmoja gonga ndoa na usirudie njia uliyopita ukaanguka.

Pia dogooo...tupo watu kama 7billion dunian ila wataalamu wanasema wanbawake ni kama asilimia 60-67 ya wanadamu wote..hapa ndio unatakiwa kujipa matumaini kuwa all the time ulikuwa unapoteza muda na shorty mmoja wakati wengine kama 2.7 wakihitaji huduma yako kwa hali na mali.

Hit the streets harder find a new creature n live goes on..n thats a heart of a man.

(sorry laddies nimempa ukweli woote wa kiumeni mbele yenu...i know in someways this might hurt some of you..but truth gotta be told regardless the pain)
 
[h=2][/h]
Pole sana na hongera kwa kutambua makosa yako na kuyakiri,Sasa ni wakati wako wa kuangalia mbele kwani huyo umpendaye sana aweza kuwa keshaolewa au kama hajaolewa huenda asitake kurudiana nawe tena,kwa hiyo ni wakati wako wa kumtafuta mtu ambaye utaona unaweza kuishi naye kwa kipindi chote kilichobaki acha maisha yako,halafu hilo liwe somo kwako kuepuka kabisa kumuumiza utakayeamua kuwa naye na usimsumbue tena huyo ex wako hasa ikiwa ameolewa au hakubaliani na msamaha wako.Kama unahisi huwezi mpenda mwingine zaidi ya huyo ex wako ni vema ukajitune uwe pekee yako for the rest of your life kwani utaumiza hisia za mpya utakayempata kwa kushindwa kabisa kumsahau zilipendwa wako.
ES umzuri wa sura,rangi yako ilikuwa tiba ya macho yangu,umbile lako hakuna wa kufananisha nae.Nilikupenda nawe ulinipenda tena sana,ni makosa yangu ndiyo yaliyopelekea leo hii umeamua kuniacha na kwenda kwa mwingine,sikulaumu kwa ulichofanya kwani ni kweli makosa nilifanya na vibaya nikakutenda,nahisi adhabu hii itautesa moyo wangu kwa muda mrefu sana kwani tulizoeana sana.Ulijua kucare,mapenzi motomoto lakin tamaa zangu na uzumbukuku wangu ulikukwaza japo ulivumilia kwa muda mrefu.
Leo hii n i mnyonge sana,nakuwaza wewe naomba kama unaweza unisamehe ili turudiane na naahidi kujirekebisha lakini kama waona hakuna nafasi hiyo naomba niseme,WEWE NI MZURI SANA,NILIKUPENDA,NAKUPENDA NA NITAKUPENDA DAIMA INGAWA UMENIACHA.

NB:WANAUME WENZANGU KAMA MWANAMKE ANAKUPENDA KAMWE USIJE UKAMTENDA VISIVYO KWA KUHISI UNAPENDWA ZAIDI.YALIYONIKUTA MIMI NI ZAIDI YA JANGA LEO HII MWANAUME MZIMA MACHOZI YAMENITOKA KWA MAKOSA NILIYOFANYA NA KUNIGARIMU.
KWA WASICHANA NA WANAWAKE WOTE,MTUVUMILIE WANAUME KWA MAMBO MBALIMBAMLI TUNAYOWAFANYIA KWANI NI UDHAIFU TULIONAO NDIO UNAOPELEKEA MAMBO YOTE HAYO.
AHSANTEN.

Am so sorry that sikubaliani na wewe because of the following;
1.Mwanaume ni kiumbe tu kama walivyo viumbe wengine i.e wanawake waliumbwa wakiwa wana huzuni,furaha,huruma,upendo na hata masikitiko,kwa hiyo kulia is just an outcome of one of the feelings a man can face and feel like droping tears.Hata Yesu alitoa machozi kwa ajili ya kifo cha rafikiye Lazaro,so do you mean he was showing like Mungu alikuwa amekosea kumumba as a man?

2.Wataalamu wa afya wanasugest kuwa unapohisi too much pain in your heart usisite kutoa machozi au kulia ikiwa ni njia ya kupunguza maumivu moyoni na wala hawakuspecify kwamba ni wanawake pekee ndo wanaopaswa kudrop tears,meaning ni ruksa kwa mwanaume kudrop tears pia anapohisi too much pain kupunguza huo uchungu.

3.Ni kweli wanawake ni wengi sana duniani kushinda wanaume lakini i hope utakubalina nami kuwa si kila mwanamke anafaa machoni pa mwanaume fulani na wala si kila mwanaume anafaa machoni mwa mwanamke fulani,meanig to be with someone depends on the feeling u have towards the person na sio upatikanaji wa hao watu,so na yeye amekuwa attracted na huyo tu japo alikuwa amemkosea.

4.Kukubali makosa yako na kukiri sio udhaifu kwa mwanaume bali ni kuonyesha jinsi ulivyo na ujasiri,coz i hope unafahamu ilivyo ngumu kwa watu tulio wengi duniani hapa kuukubali udhaifu wetu na kukiri makosa.

5.Moyo wa mwanaume sio jiwe,una damu na normal vein kama za mwanamke na wala hauna extra particles au vein zinazomfanya awe na hisia za jiwe au kama mti.
Nakubali kuwa mwanaume lazima ajiikaze lakini to some extent lazima tukubali kuwa inafikia wakati hata yeye anahitaji msaada na some break jamani.

Ni hayu tu mkuu who Cares.

thanx kwa maelezo mazuri hakika umefafanua vizuri sana.
 
[h=2][/h]
Pole sana na hongera kwa kutambua makosa yako na kuyakiri,Sasa ni wakati wako wa kuangalia mbele kwani huyo umpendaye sana aweza kuwa keshaolewa au kama hajaolewa huenda asitake kurudiana nawe tena,kwa hiyo ni wakati wako wa kumtafuta mtu ambaye utaona unaweza kuishi naye kwa kipindi chote kilichobaki acha maisha yako,halafu hilo liwe somo kwako kuepuka kabisa kumuumiza utakayeamua kuwa naye na usimsumbue tena huyo ex wako hasa ikiwa ameolewa au hakubaliani na msamaha wako.Kama unahisi huwezi mpenda mwingine zaidi ya huyo ex wako ni vema ukajitune uwe pekee yako for the rest of your life kwani utaumiza hisia za mpya utakayempata kwa kushindwa kabisa kumsahau zilipendwa wako.

ahsante nashukuru kwa ushauri mzuri,nitaufanyia kazi.Godbless you.
 
kweli kabisa kaka,ila inauma sana kumpoteza mtu ambaye unampenda kwa dhati hasa ikiwa wewe ndio chanzo cha matatizo,sikuzaliwe naye kweli ila ukweli ni kwamba nilimpenda sna na tulizoeana sana,she was my girlfriend and true friend at the same time.

Maskini ... I wish angejua unavyojutia na kusonononeka LABDA angekupa second chance!

Pole sana.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole, siku zote majuto ni mjukuu, wanaume mukipendwa sijui huwa munakuwaje. Unakuja kuona ulichemka mwezio ashahamisha majeshi baada ya kuona unamzengua, na wanawake tukihama tumehama, akirudi hawezi kuwa tena kama zamani. Pole....lakini tunajifunza kwa makosa hakuna mtu aliye mukamilifu. Songa mbele ndo maisha.
 
Dogo ALIKUPA nini huyo mpaka umulilie wakati HAKUTAKI? NiPM nikupe demu mlokole mzuri na hana shobo yeye anapenda watu kama wewe mlioumizwa. Ngangamala maisha yaendeleee, mwanaume wa kweli HALIII MAPENZI DOGO...
 
hakunipa kitu kaka ila upendo na tu na mazoea ndio vinavyonitessa kaka
 
machozi machozi machozi
ni ya furaha, kilio hata kicheko
machozi machoz machozi
ni ya hisia, hasira au ghadhabu
machozi machozi machozi
ni ya bethidei, harusi au sendi ofu
machozi machozi machozi
yako ni kujuta, kukata tamaa
 
Pole sana na bora umeligundua hilo, sasa ukimpata mwingine jaribu kushinda tamaa zako za mwili.

But kama bado unampenda sana Nakapanyajaribu kumtongoza tena!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom