Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

It is good once you admit your self kwamba wewe ndiwe ulikuwa chanzo. Muda mwingine tunawapoteza watu tunaowapenda ki ukweli pasipo kujua kama kweli unampenda au vip kwa kufanya mizaha kwenye mapenzi. Kuna usemi usemao kuwa " You don't miss it until you lose it" or " you don't realize it until it's gone. Pole sana kaka. Kama kweli alikupenda kwa dhati atakusikiliza na kukufikiiria ingawa itategemea na huko aliko sasa kama hakutani na hayo uliyokuwa ukimfanyia mpaka akaamua kukudump.
 
ES umzuri wa sura,rangi yako ilikuwa tiba ya macho yangu,umbile lako hakuna wa kufananisha nae.Nilikupenda nawe ulinipenda tena sana,ni makosa yangu ndiyo yaliyopelekea leo hii umeamua kuniacha na kwenda kwa mwingine,sikulaumu kwa ulichofanya kwani ni kweli makosa nilifanya na vibaya nikakutenda,nahisi adhabu hii itautesa moyo wangu kwa muda mrefu sana kwani tulizoeana sana.Ulijua kucare,mapenzi motomoto lakin tamaa zangu na uzumbukuku wangu ulikukwaza japo ulivumilia kwa muda mrefu.
Leo hii n i mnyonge sana,nakuwaza wewe naomba kama unaweza unisamehe ili turudiane na naahidi kujirekebisha lakini kama waona hakuna nafasi hiyo naomba niseme,WEWE NI MZURI SANA,NILIKUPENDA,NAKUPENDA NA NITAKUPENDA DAIMA INGAWA UMENIACHA.

NB:WANAUME WENZANGU KAMA MWANAMKE ANAKUPENDA KAMWE USIJE UKAMTENDA VISIVYO KWA KUHISI UNAPENDWA ZAIDI.YALIYONIKUTA MIMI NI ZAIDI YA JANGA LEO HII MWANAUME MZIMA MACHOZI YAMENITOKA KWA MAKOSA NILIYOFANYA NA KUNIGARIMU.
KWA WASICHANA NA WANAWAKE WOTE,MTUVUMILIE WANAUME KWA MAMBO MBALIMBAMLI TUNAYOWAFANYIA KWANI NI UDHAIFU TULIONAO NDIO UNAOPELEKEA MAMBO YOTE HAYO.
AHSANTEN.
Hizi ni swagga za kilooser kwani ulizaliwa naye..mpaka useme hutakutana na mtu kama yeye? mwanaume wa ukweli hawezi toa chozi kisa mwanamke amemuacha au ameachana koz dalili ulishaanza kuziona so ilibidi ujipange inakuaje..baada ya yeye kuondoka...huku tunaamini kama alisema aliyekupenda yupo atakaekuja na kuwa na upendo zaidi ya aliyeondoka..amini hivyo..jombaa..over..
 
Mkuu, hongera kwa kuwa muwazi. Wengi huwa tunaficha ukweli na kusema tumekosewa. Sasa, kaa chini, anza upya. Akikuelewa atakuja, ila usilazimishe, na acha kabisa kuwaweka watu foleni, daima kumbuka kwa chips ni viazi, hata kama ukiweka viungo gani, bila viazi haitakuwa chips.
 
It is good once you admit your self kwamba wewe ndiwe ulikuwa chanzo. Muda mwingine tunawapoteza watu tunaowapenda ki ukweli pasipo kujua kama kweli unampenda au vip kwa kufanya mizaha kwenye mapenzi. Kuna usemi usemao kuwa " You don't miss it until you lose it" or " you don't realize it until it's gone. Pole sana kaka. Kama kweli alikupenda kwa dhati atakusikiliza na kukufikiiria ingawa itategemea na huko aliko sasa kama hakutani na hayo uliyokuwa ukimfanyia mpaka akaamua kukudump.
i appreciate brooo,thanx much
 
Plole sana kaka kwa yaliyokukuta lkn usihofu sana utampata mwingine tena mzuri kuliko huyouliyeachana nae cha msingi umeshajua ulipojikwaa kuwa makini ukipata mwingine jirekebishe yasijirudie tena.
 
Plole sana kaka kwa yaliyokukuta lkn usihofu sana utampata mwingine tena mzuri kuliko huyouliyeachana nae cha msingi umeshajua ulipojikwaa kuwa makini ukipata mwingine jirekebishe yasijirudie tena.

ahsante ndugu
 
Nina wasiwasi na umri wako ... wanaume huwa hawalii wewe?! Hope nw hutasahau kuwa 'what can't kill u, will teach u' ! Ugua pole kijana ...
 
Nina wasiwasi na umri wako ... wanaume huwa hawalii wewe?! Hope nw hutasahau kuwa 'what can't kill u, will teach u' ! Ugua pole kijana ...

why worried with my age?
 
NB:WANAUME WENZANGU KAMA MWANAMKE ANAKUPENDA KAMWE USIJE UKAMTENDA VISIVYO KWA KUHISI UNAPENDWA ZAIDI.YALIYONIKUTA MIMI NI ZAIDI YA JANGA LEO HII MWANAUME MZIMA MACHOZI YAMENITOKA KWA MAKOSA NILIYOFANYA NA KUNIGARIMU.
Wenzako tulishalifahamu hilo mapema sana, tangu tuko shule....au nawe bado upo shule?!
 
mhh acha kulia lia ww mtoto wa kiume?? unatuabisha bana au unashindwa kutongoza nn?? hapo uliokota embe kwenye muashoki??
 
mhh acha kulia lia ww mtoto wa kiume?? unatuabisha bana au unashindwa kutongoza nn?? hapo uliokota embe kwenye muashoki??

kaka swala sio kujua kutongoza ama vinginevyo,iwe niliokota sijui embe kwenye muashoki haijalishi,ninachosema ni kuwa nilimpenda alinipenda and I regret to loose her
 
Back
Top Bottom