Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

Pole lakini kama umekiri makosa yako basi muombe msamaha hata kama haiwezekani kurudiana tena ikiwa yeye ana mwengine ay ameshamua kua hakutaki tena,na inshallah mungu atakupa wepesi..
 
pole sana,
mapenzi ni kitu kingine kabisa hebu jirekebishe na ukiri kosa kisha urudi kwa kuomba msamaha wa dhati, huenda ukasamehewa
 
Duh! Duniani tuna tofautiana kweli. Kwa umri nilio nao nishaachana na wana wake kibao ( idadi siikumbuki ) katiyao wake wa ndoa wawili ( 2 ) wapo wazuli wengi katiyao wapo nilio wapenda nawengine nili chovya na kuacha, lakini sikuwahi kulia kwaajili ya mapenzi na sifikirii. Kuna wakati huwa najiuliza hivi ni kwanini ila jibu linanijia kua mimi nishazoea mateso mpaka yamenikifu. Kwahiyo munanishangaza sana munao lilia mapenzi nahisi bado hamja tendwa mukisha tendwa marambili tatu mutaona kua mapenzi nimchezo tu wakuigiza, tofauti na munavyo ona kwenye picha za kiindi. Lakini pole.
 
pole sana,
mapenzi ni kitu kingine kabisa hebu jirekebishe na ukiri kosa kisha urudi kwa kuomba msamaha wa dhati, huenda ukasamehewa

sisi wanawake tunapoamua basi basi haswa ukimpta wa kukufuta machozi yeye augue tu atampata mwingine kwa sasa ajifunze
 
Ukiona mtu anakosa moyo wa uvumilivu na kusamehe basi mshukuru Mungu kwa kuwa kaondoka maana inawezekana ungekuja kupata matatizo makubwa zaidi ya hayo ya kuondoka yeye.
Naona tu unalalamika kuwa umeachwa ila hujasema umeachwa kwa sababu gani?Hebu kuwa wazi nasi tujue ulichokifanya mpaka ukaachwa.

ndugu mambo mengi mabaya nimemfanyia nisingependa kuyaandika hapa moja kwa moja pleasee
 
Pole lakini kama umekiri makosa yako basi muombe msamaha hata kama haiwezekani kurudiana tena ikiwa yeye ana mwengine ay ameshamua kua hakutaki tena,na inshallah mungu atakupa wepesi..

nilishakiri kama mimi ni mkosaji,nimemuomba sana msamaha,nimuwatumia rafiki zake na rafiki zangu lakini imeshindikana,
 
Mara nyingi tunajua umuhimu wa kitu au mtu pale tunapokikosa!!! Majuto ni mjukuu na usirudie tena.
 
ES umzuri wa sura,rangi yako ilikuwa tiba ya macho yangu,umbile lako hakuna wa kufananisha nae.Nilikupenda nawe ulinipenda tena sana,ni makosa yangu ndiyo yaliyopelekea leo hii umeamua kuniacha na kwenda kwa mwingine,sikulaumu kwa ulichofanya kwani ni kweli makosa nilifanya na vibaya nikakutenda,nahisi adhabu hii itautesa moyo wangu kwa muda mrefu sana kwani tulizoeana sana.Ulijua kucare,mapenzi motomoto lakin tamaa zangu na uzumbukuku wangu ulikukwaza japo ulivumilia kwa muda mrefu.
Leo hii n i mnyonge sana,nakuwaza wewe naomba kama unaweza unisamehe ili turudiane na naahidi kujirekebisha lakini kama waona hakuna nafasi hiyo naomba niseme,WEWE NI MZURI SANA,NILIKUPENDA,NAKUPENDA NA NITAKUPENDA DAIMA INGAWA UMENIACHA.

NB:WANAUME WENZANGU KAMA MWANAMKE ANAKUPENDA KAMWE USIJE UKAMTENDA VISIVYO KWA KUHISI UNAPENDWA ZAIDI.YALIYONIKUTA MIMI NI ZAIDI YA JANGA LEO HII MWANAUME MZIMA MACHOZI YAMENITOKA KWA MAKOSA NILIYOFANYA NA KUNIGARIMU.
KWA WASICHANA NA WANAWAKE WOTE,MTUVUMILIE WANAUME KWA MAMBO MBALIMBAMLI TUNAYOWAFANYIA KWANI NI UDHAIFU TULIONAO NDIO UNAOPELEKEA MAMBO YOTE HAYO.
AHSANTEN.

cc Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Ni kazi sana kupata 'mpenzi' afu awe 'rafiki' yako at the same time

Lakini ukibahatisha huwa swaaafi sana

kweli kabisa kaka,ila inauma sana kumpoteza mtu ambaye unampenda kwa dhati hasa ikiwa wewe ndio chanzo cha matatizo,sikuzaliwe naye kweli ila ukweli ni kwamba nilimpenda sna na tulizoeana sana,she was my girlfriend and true friend at the same time.
 
Amekutenda?

Umemwaga?

Pole mwaya, utarudi kwa nyumba ndogo yako?

Hujaitwa unaitika, ukiitwa si utakuja umevua pichu kabisa! LOL
Namtahazalisha tu, asinipoteze halafu naye akaja kulia huku. Nyumba ndogo mmh; si ataninyanyasa baada ya kumfanyia vitimbi. LOL
 
Back
Top Bottom