Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

Ingawa umeniacha.....nitakupenda daima.

Nakapanya

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2012
Posts
2,096
Reaction score
709
ES umzuri wa sura,rangi yako ilikuwa tiba ya macho yangu,umbile lako hakuna wa kufananisha nae.Nilikupenda nawe ulinipenda tena sana,ni makosa yangu ndiyo yaliyopelekea leo hii umeamua kuniacha na kwenda kwa mwingine,sikulaumu kwa ulichofanya kwani ni kweli makosa nilifanya na vibaya nikakutenda,nahisi adhabu hii itautesa moyo wangu kwa muda mrefu sana kwani tulizoeana sana.Ulijua kucare,mapenzi motomoto lakin tamaa zangu na uzumbukuku wangu ulikukwaza japo ulivumilia kwa muda mrefu.
Leo hii n i mnyonge sana,nakuwaza wewe naomba kama unaweza unisamehe ili turudiane na naahidi kujirekebisha lakini kama waona hakuna nafasi hiyo naomba niseme,WEWE NI MZURI SANA,NILIKUPENDA,NAKUPENDA NA NITAKUPENDA DAIMA INGAWA UMENIACHA.

NB:WANAUME WENZANGU KAMA MWANAMKE ANAKUPENDA KAMWE USIJE UKAMTENDA VISIVYO KWA KUHISI UNAPENDWA ZAIDI.YALIYONIKUTA MIMI NI ZAIDI YA JANGA LEO HII MWANAUME MZIMA MACHOZI YAMENITOKA KWA MAKOSA NILIYOFANYA NA KUNIGARIMU.
KWA WASICHANA NA WANAWAKE WOTE,MTUVUMILIE WANAUME KWA MAMBO MBALIMBAMLI TUNAYOWAFANYIA KWANI NI UDHAIFU TULIONAO NDIO UNAOPELEKEA MAMBO YOTE HAYO.
AHSANTEN.
 
Hayo maneno uliyo ongea hapa yawezekana ni kweli kabisa... Unamaansiha unayo ongea, lakini haya maneno hayashindi ukweli. Ukweli wa kuwa Mapenzi kama kitu chochote chenye kuhitaji uhai wa milele ni lazima ulishwe na utunzwe. Hata kama unampenda vipi... Ipo siku utampenda kawaida na pengine hata kutompenda kabisa hadi ubaki unajiuliza imekuwaje na nini uliona hapo. Uzuri ndiyo uja hapo... Tungekuwa hatuachi kupenda na kupona maumivu ya kupenda ama kuumizwa na watu tuliowapenda, watu wengi wange kata sana tamaa.

Upande wa kuumizana... Kuna kitu cha msingi wengi huwa tunasahau. Mapenzi HAYALAZIMISHWI! Mimi kumpenda sana mpenzi wangu siyo guarantee kuwa na yeye atanipenda hivyo hivyo na wala siyo lazima kuwa naye inastahili anipende hivyo. Ni kuomba tu Mungu ukimpenda mtu wako, naye akupende vivyo hivyo na mengine yatafuata.

Kwa maana hiyo nina maana, wale ambao tumeumizwa... Tusiwe wepesi wa kurusha makombora ya kuwa umetendwa sababu mwisho wa siku it takes two for it to work. Ukute katika kutendwa huko unako ita kutendwa 'wewe' ndiyo ulikuwa tatizo kubwa kuliko hata huyo mtu wako maana watu hatuoni makosa yetu kabisa na tupo hodari kukosoa wapenzi wetu kwa madhaifu yao. Mapenzi is all about compromising...
 
Kujua umuhimu wa kitu unaonekanaga pale unapokikosa kitu hicho!kubali matokeo wajanja wamebeba!tafta mwingine utulie nae!past is a history ganga yajayo! Hata hivo hukuzaliwa nae mmekutana ukubwani tu take easy!
 
es umzuri wa sura,rangi yako ilikuwa tiba ya macho yangu,umbile lako hakuna wa kufananisha nae.nilikupenda nawe ulinipenda tena sana,ni makosa yangu ndiyo yaliyopelekea leo hii umeamua kuniacha na kwenda kwa mwingine,sikulaumu kwa ulichofanya kwani ni kweli makosa nilifanya na vibaya nikakutenda,nahisi adhabu hii itautesa moyo wangu kwa muda mrefu sana kwani tulizoeana sana.ulijua kucare,mapenzi motomoto lakin tamaa zangu na uzumbukuku wangu ulikukwaza japo ulivumilia kwa muda mrefu.
Leo hii n i mnyonge sana,nakuwaza wewe naomba kama unaweza unisamehe ili turudiane na naahidi kujirekebisha lakini kama waona hakuna nafasi hiyo naomba niseme,wewe ni mzuri sana,nilikupenda,nakupenda na nitakupenda daima ingawa umeniacha.

Nb:wanaume wenzangu kama mwanamke anakupenda kamwe usije ukamtenda visivyo kwa kuhisi unapendwa zaidi.yaliyonikuta mimi ni zaidi ya janga leo hii mwanaume mzima machozi yamenitoka kwa makosa niliyofanya na kunigarimu.
Kwa wasichana na wanawake wote,mtuvumilie wanaume kwa mambo mbalimbamli tunayowafanyia kwani ni udhaifu tulionao ndio unaopelekea mambo yote hayo.
Ahsanten.

dogo...listern up..

Mungu hakuwa mpuuzi kukuumba wewe kidume unless kwa hizi regrets na kulialia unaonyesha kama god alikosea kukuumba kidume vile...u heart is too soft to be called a heart of man.

A man was born to die continuously and to start afresh....wewe mbona unaanguka inakuwia ngumu kuinuka..the mourning dayz are over kid..just get up compose urself n hit the streets harder...kama vipi jaribu kuchungulia kwao na huyo demu alekumwaga unaqweza kukuta masalia ya species kama yeye i.e. Her young sis or bug sis..tongoza mmoja gonga ndoa na usirudie njia uliyopita ukaanguka.

Pia dogooo...tupo watu kama 7billion dunian ila wataalamu wanasema wanbawake ni kama asilimia 60-67 ya wanadamu wote..hapa ndio unatakiwa kujipa matumaini kuwa all the time ulikuwa unapoteza muda na shorty mmoja wakati wengine kama 2.7 wakihitaji huduma yako kwa hali na mali.

Hit the streets harder find a new creature n live goes on..n thats a heart of a man.

(sorry laddies nimempa ukweli woote wa kiumeni mbele yenu...i know in someways this might hurt some of you..but truth gotta be told regardless the pain)
 
Hayo maneno uliyo ongea hapa yawezekana ni kweli kabisa... Unamaansiha unayo ongea, lakini haya maneno hayashindi ukweli. Ukweli wa kuwa Mapenzi kama kitu chochote chenye kuhitaji uhai wa milele ni lazima ulishwe na utunzwe. Hata kama unampenda vipi... Ipo siku utampenda kawaida na pengine hata kutompenda kabisa hadi ubaki unajiuliza imekuwaje na nini uliona hapo. Uzuri ndiyo uja hapo... Tungekuwa hatuachi kupenda na kupona maumivu ya kupenda ama kuumizwa na watu tuliowapenda, watu wengi wange kata sana tamaa.

Upande wa kuumizana... Kuna kitu cha msingi wengi huwa tunasahau. Mapenzi HAYALAZIMISHWI! Mimi kumpenda sana mpenzi wangu siyo guarantee kuwa na yeye atanipenda hivyo hivyo na wala siyo lazima kuwa naye inastahili anipende hivyo. Ni kuomba tu Mungu ukimpenda mtu wako, naye akupende vivyo hivyo na mengine yatafuata.

Kwa maana hiyo nina maana, wale ambao tumeumizwa... Tusiwe wepesi wa kurusha makombora ya kuwa umetendwa sababu mwisho wa siku it takes two for it to work. Ukute katika kutendwa huko unako ita kutendwa 'wewe' ndiyo ulikuwa tatizo kubwa kuliko hata huyo mtu wako maana watu hatuoni makosa yetu kabisa na tupo hodari kukosoa wapenzi wetu kwa madhaifu yao. Mapenzi is all about compromising...

ndugu Ashadii,ukisoma vizuri hapo kwenye post yangu utagundua kuwa sijasema kama yeye alikua ndio chanzo,nimeweka waz kabisa kuwa mimi ndio nilikua chanzo cha hayo matatizo yote.
 
Kujua umuhimu wa kitu unaonekanaga pale unapokikosa kitu hicho!kubali matokeo wajanja wamebeba!tafta mwingine utulie nae!past is a history ganga yajayo! Hata hivo hukuzaliwa nae mmekutana ukubwani tu take easy!

kweli kabisa kaka,ila inauma sana kumpoteza mtu ambaye unampenda kwa dhati hasa ikiwa wewe ndio chanzo cha matatizo,sikuzaliwe naye kweli ila ukweli ni kwamba nilimpenda sna na tulizoeana sana,she was my girlfriend and true friend at the same time.
 
dogo...listern up..

Mungu hakuwa mpuuzi kukuumba wewe kidume unless kwa hizi regrets na kulialia unaonyesha kama god alikosea kukuumba kidume vile...u heart is too soft to be called a heart of man.

A man was born to die continuously and to start afresh....wewe mbona unaanguka inakuwia ngumu kuinuka..the mourning dayz are over kid..just get up compose urself n hit the streets harder...kama vipi jaribu kuchungulia kwao na huyo demu alekumwaga unaqweza kukuta masalia ya species kama yeye i.e. Her young sis or bug sis..tongoza mmoja gonga ndoa na usirudie njia uliyopita ukaanguka.

Pia dogooo...tupo watu kama 7billion dunian ila wataalamu wanasema wanbawake ni kama asilimia 60-67 ya wanadamu wote..hapa ndio unatakiwa kujipa matumaini kuwa all the time ulikuwa unapoteza muda na shorty mmoja wakati wengine kama 2.7 wakihitaji huduma yako kwa hali na mali.

Hit the streets harder find a new creature n live goes on..n thats a heart of a man.

(sorry laddies nimempa ukweli woote wa kiumeni mbele yenu...i know in someways this might hurt some of you..but truth gotta be told regardless the pain)

thanx bro,will try do that
 
Ubaya ufanye wewe, kuumia uumie wewe, kulia ulie wewe!! Mbuzi wa bwana Heli wamekula ktk shamba la bwana Heli, basi kheli tuu.
 
dogo...listern up..

Hit the streets harder find a new creature n live goes on..n thats a heart of a man.

Hii attitude kwa mtazamo wangu huwa siyo nzuri... Na mara nyingi it is not advisable kwa kila mmoja hasa tegemeana na circumstances ambazo pia zinahusu age.

Mara nyingi ni vema sana kuaw makini kabla ya kuingia katika mahusiano ambayo yana mlengo wa muda mrefu, for the reason kuwa hata ukiwa na mtu wako mwenye madhaifu mnajaribu kurekebishana pale inapowezekana huku pia mwasomana kwa wepesi wa kuishi pamoja.

Wanadamu hakuna aliye perfect... Kila mmoja ana madhaifu yake... Hayo madhaifu kila mmoja akipata wake anatakiwa ajifunze namna ya kuyakabili kikubwa pawe na upendo kati yenu. Tabia ya kusema kuwa unaachia ngazi kila mara sababu tu wapo wengi inaweza kukufanya kila siku unaruka ruka na bado usipate unachotaka. Ndiyo maana kabla ya kutowa maamuzi ya kutengana ni vema kifikiri kwa kina na kutokuwa rush.
 
ES umzuri wa sura,rangi yako ilikuwa tiba ya macho yangu,umbile lako hakuna wa kufananisha nae.Nilikupenda nawe ulinipenda tena sana,ni makosa yangu ndiyo yaliyopelekea leo hii umeamua kuniacha na kwenda kwa mwingine,sikulaumu kwa ulichofanya kwani ni kweli makosa nilifanya na vibaya nikakutenda,nahisi adhabu hii itautesa moyo wangu kwa muda mrefu sana kwani tulizoeana sana.Ulijua kucare,mapenzi motomoto lakin tamaa zangu na uzumbukuku wangu ulikukwaza japo ulivumilia kwa muda mrefu.
Leo hii n i mnyonge sana,nakuwaza wewe naomba kama unaweza unisamehe ili turudiane na naahidi kujirekebisha lakini kama waona hakuna nafasi hiyo naomba niseme,WEWE NI MZURI SANA,NILIKUPENDA,NAKUPENDA NA NITAKUPENDA DAIMA INGAWA UMENIACHA.

NB:WANAUME WENZANGU KAMA MWANAMKE ANAKUPENDA KAMWE USIJE UKAMTENDA VISIVYO KWA KUHISI UNAPENDWA ZAIDI.YALIYONIKUTA MIMI NI ZAIDI YA JANGA LEO HII MWANAUME MZIMA MACHOZI YAMENITOKA KWA MAKOSA NILIYOFANYA NA KUNIGARIMU.
KWA WASICHANA NA WANAWAKE WOTE,MTUVUMILIE WANAUME KWA MAMBO MBALIMBAMLI TUNAYOWAFANYIA KWANI NI UDHAIFU TULIONAO NDIO UNAOPELEKEA MAMBO YOTE HAYO.
AHSANTEN.
Pole sana kwa maswahibu yaliyokukuta ni kawaida umuhimu wa mtu huonekana pale ambapo hayupo au kakumwaga kama member mmoja alivosema hapo juu mara nyingi watu hutumia udhaifu flani wa wenzao kuwaumiza na hata kuwanyanyasa kisa tu kaonyesha mapenzi ya dhati..!!!Ndugu hapo kwenye bold napingana na ww kabsa unataka wanawake tuwe victims wa mahusiano kila siku??tuumizwe,tunyanyaswe na kukaa kimya tu na kuvumilia kisa ni mapenzi??NOOO!!!usisingizie udhaifu mlionao...!!!kila mtu ana haki ya kuishi kwa amani na kwa raha yani tuvumliee tuu thn mwisho wa siku tutapewa tuzo za uvumilivu au????its better to live alone and very happy thn livng with a person aneyeigeuza dunia yako a living hell!!!!!Dunia yako chaguo lako chagua kuwa na maisha mafupi yenye raha....!!!epuka maumivu na mateso...!!
 
kweli kabisa kaka,ila inauma sana kumpoteza mtu ambaye unampenda kwa dhati hasa ikiwa wewe ndio chanzo cha matatizo,sikuzaliwe naye kweli ila ukweli ni kwamba nilimpenda sna na tulizoeana sana,she was my girlfriend and true friend at the same time.
Ukiona mtu anakosa moyo wa uvumilivu na kusamehe basi mshukuru Mungu kwa kuwa kaondoka maana inawezekana ungekuja kupata matatizo makubwa zaidi ya hayo ya kuondoka yeye.
Naona tu unalalamika kuwa umeachwa ila hujasema umeachwa kwa sababu gani?Hebu kuwa wazi nasi tujue ulichokifanya mpaka ukaachwa.
 
Back
Top Bottom