wanaanza sarakasi nyingiiii, mizunguko mingiii lakini ujumbe ni kwamba wameruhusiwa hata kufunga ndoa ya jinsia moja!!!!!Kwahiyo wasiwabariki ila watoe baraka wakafira.ne . Mbona ni yale yale tuu kutetea uovu kama huu utapata tabu sana.
Endeleeni kutetea ujinga wenuTamko limeruhusu, kwamfano, watu wenye ndoa ya jinsia moja wakienda kwa kasisi wakitaka awaombee kwenye biashara zao basi asikatae.
Tamko halijasema kwamba wafungishe ndoa za jinsia moja.
Ndyoooo ruksa kufunga ndoa, kuliko kuzini ushoganiwanaanza sarakasi nyingiiii, mizunguko mingiii lakini ujumbe ni kwamba wameruhusiwa hata kufunga ndoa ya jinsia moja!!!!!
RelaaaxxxEndeleeni kutetea ujinga wenu
Hakuna mapenzi ya Jinsia moja semeni usenge na usagaji
Huu ugaidi wa imani mkitaka kuepukana nao kueni waislam
Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi.