Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
Msaada wakuu, juzi nilikuwa napitia MUST prospectus nikakutana na iyo course ya MechTronics sasa nimepata maswali mengi kuhusiana na hii course bila majibu
1. Hii course ina contains both mechanical na electronic au ni parts tu.
2. Fields zake ni zipi?
3. Na je kuna chuo kinachotoa Bachelor kwa iyo course maana must ni diploma tu.
Msaada juu ya hayo maswali ili nifahamu kama naweza komaa nayo