Info za ndani ndani kuhusu kujiunga jkt

Wakuu, Inaweza kuwa alimnukuu mwanafalsafa maarufu Plato aliyewagawa wanadamu katika makundi matatu yaani: Silver, bronze and Iron. Wanajeshi wa aina zote aliwaweka katika kundi la tatu ambalo kwake yeye aliona wapo Kwa ajili ya kuwalinda Silver na Bronze boys.
 
ni akili za kipumbavu na ya mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikili na kukatisha tamaa wengine alyekwambia jeshi n kwa ajili ya waliofeli nani? Na aliyekwambia jeshi alihitaji wasomi nani? Na wapi imeandikwa jeshi lina kuandaa kwenda kuwa muuaji? Hivi ushawahi kujiuliza ni kwa nini nchi zilizoendelea yaani developed country watoto wa mnaowaita vigogo, maraisi, wafalme na wengine serikalini wengi wao wanafanya kazi kwenye vyombo vya ulinzi ikiwemo jeshi? Leo hii mtoto wa kibongo kujiunga jeshi eti kafeli au kakosa kazi ndo kaenda uko, dah!! Pleni sana wenye mawazo finyu! Nyie ndo walewale mnaoamini kula chipsi yai eti matawi ya juu na unapesa wakati kwa nchi zilizoendelea mtu anayekula chipsi ni maskini wa kutupwa!!! Na namalizia kwa kusema ukihitaji wataalamu wazuri katika sekta mbalimbali utawapata jeshini na si kwingineko!!!!!!!!!!!!!!!!!! Big p wote mnaokwenda uko
 
Inamana vijana mmeshindwa kabisa kupata kazi sehemu zingine mpaka mkimbilie kwenye majeshi...ama kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya filauni...Anyway nawatakia kilalakheri

nasikia huko siku hz kuna maisha kinoma hasa kwa professional graduates,maslahi mazuri sana,sa vijana watake nini sasa mkuu?
 
mpeleke mzee wako ze.comedy.
 
baba yako anaekuchekesha na ww unaechekeshwa na PUMBA zake wote akili moja...
 
Kwa ujuzi wangu december posts ni form 4...january posts for form 6..na mid feb ni wale wa degree
 
Jamani trh 23 ndo hiyoo inaishia vp kwa aliyeona tangazo ilo la mikoa michache
 
Tatizo lako hujafika hiyo level,na nawasiwasi na baba yako nahisi ndo walewale,soma kwanza
 
Jeshi la leo sio la miaka 47, siku hizi wasomi ndo wanamata zaidi kuliko vilaza butu wa miaka ile, wale wa saini ya dole gumba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…