info: wapi nitapata Background/backdrops za Photo studio hapa Dar

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
374
wakuu pole na majukumu,

nipo katika mchakato wa kuanzisha photo studio Dar es salaam (itakuwa ni medium). Studio hii itajishughulisha na upigaji picha portraits kusafisha na kuuza photographic products.

kwa sasa tupo katika ukarabati wa jengo na kununua equipment. naomba msaaa wenu wa kufahamishwa wapi naweza kupata background nzuri pamoja na vile supporting system yake (yaani vitakaposhikizwa kuweza kupandishwa na kushushwa". kwa wale ambao watakuwa wameingia photopoint studio au ile ya mwenge watakuwa wanafahamu kitu ninachomaannisha.

nitashukuru sana kwa atayenisaidia kunipa taarifa wapi naweza kupata hapa Dar es salaam.
 
....kwa wale ambao watakuwa wameingia photopoint studio au ile ya mwenge......

Mkuu kama hiyo ya Mwenge unajua ina ivo vitu kwa nini usitumie mda wako kwenda kuuliza wewe mwenyewe kuliko kutegemea msaada wa watu wengine hapa!?..
 
Mkuu kama hiyo ya Mwenge unajua ina ivo vitu kwa nini usitumie mda wako kwenda kuuliza wewe mwenyewe kuliko kutegemea msaada wa watu wengine hapa!?..

Mara nyingi watu wanaofanya biashara aina hiyo wanakuwa hawako tayari kutoa info kwa kuogopa competition
 
Kama unataka biashara safi basi agiza hiyo mishe Nairobi, utapata equipments safi na kwa bei nafuu n backgrounds utapata nyingi sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…