Nimeshaziona za bandia siku hizi kinyangarata kinafanana na nanino basi unakinunua na kushughulika nacho labda hicho kinawafaa wenyewe wazungu halafu pia kuna madoli makubwa kabisa size ya mtu mzima nayo ni bei mbaya sana unamuona baba mzima amelinunua eti likamsaidie kushughulika na analala nalo kitandani. Ha ha ha ha ha
Niliona kipindi kwenye TV karibu nivunjike mbavu maana ni mataahira tu ndiyo wanaweza kulala na sanamu kitandani na kuona kama wamelala na mwanamke lakini jamaa walikuwa serious kabisa. Wazungu!!!!! ha ha ha ha waache waende zao π