Acha dharau wewe..acha kulinganisha vichuguu na mlima kilimanjaro mbona
na majengo mengi mazur pale mwanza yanamilikiwa na Wachagga wa Machame.
Acha dharau wewe..
Kinga wanajua biashara kitambo,na maeneo yao ya kujidai yako makambako japo wenyewe ni watu wa makete.
Ikumbukwe kuwa makambako palitaka kujengwa soko la kuu la kibiasha afrika mashariki kwa sababu ya wakinga.
Nawasilisha
ha ha ha...kuna msukuma mmoja pale arusha anaitwa Sunda..kapiga mgorofa wa maana..
mtu unalinganisha makete/mafinga na machame/marangu/rombo hahahhahahhaha kabisa unalinganisha brazil na belgium kimpira hahahhahahha hii nchi kuna watu/makabila yatabaki juu tu tena kipindi hiki cha soko huria ndio mtashaa
mambo usiyoyajua bora ukanyamaza, Sunda ni Mbulu si Msukuma
Mkuu ni kweli kuwa Wakinga wako nyuma kielemu, ila sio kweli kuwa hawana mwamko wa elimu.Bila shaka unapo ongelea makabila makubwa yenye nguvu kwa vigezo vingi bila kuangalia nani anafanya vzr Kariakoo utawakuta Wachagga juu na Wahaya. Wengine wanafuata. Itawachukua Wakinga miaka mingi kuja huko juu. Wanatakiwa kuwekeza sana ktk elimu badala ya uchuuzi Kariakoo.
Mkuu tupo sana na tunakuja kimya kimya, kuja kushituka watashangaa kariakoo yote ni ya Wakinga.watoto wa mwakipande na mseketwa mpoooo, wajukuu wa mwandulamu
Mkuu ni kweli kuwa Wakinga wako nyuma kielemu, ila sio kweli kuwa hawana mwamko wa elimu.
Kwa Tanzania maeneo yenye wasomi wengi asilimia kubwa ni mchango wa mkoloni.
Maeneo yenye Kahawa, Pamba na Mkonge ndio yenye wasomi wengi hii ni kwa sababu mkoloni wakati anawekeza maeneo hayo alikua anagawa na elimu.
Mkinga sababu ya kukosa fursa ya elimu ndio maana kawekeza kwenye biashara zaidi, ila tusubiri miaka michache tu tutaona Wakinga wanavyotoa wasomi maana sasa hivi mwamko wa elimu kwa Wakinga umekuwa makubwa zaidi kuliko wakati wowote ule.
Laiti Mkinga angekua na elimu toka zamani, changanya na uwezo wa biashara ulonao mchaga angesubiri sana.
Maendeleo vijijini uchagani kwa kiasi kikubwa yamepelekwa na viongozi kwa sababu ya ubinafsi wao. Wewe hushangai vijijini uchagani kuna barabara za lami wakati hakukuwa na barabara ya lami kuunganisha Dar na Lindi au Arusha na Iringa au Mbeya na Sumbawanga?
Mkuu hii ni theory tumekua nayo kwa miaka mingi. Kwa sasa makabila kadhaa yanakuja kwa kasi. Wakinga ni mojawapo. Fika Kariakoo uone wakinga wanavyo nunua nyumba za wwnyeji na kujenga maghorofa ya biashara. Wachaga wengi wanahama kariakoo. Wahindi na waharabu wamesahaulika. Kwa sasa washindani labda ni wachina na wakinga pale kariakoo.
Watu waliofilisika akili huzungumzia udini, ukabila, mikoa, nk..............Badala ya kusema mm ninamaendeleo kwa sababu nina hiki nina kile nina watoto wanasoma huku wengine kule, ninasomesha wadogo zangu huku au kule........MKAE MKIJUA TZ NI MOJA YA NCHI MASIKINI SANA KWA KIPATO CHA MTU MMOJA MMOJA SASA MIJADALA YA KIPUMBAVU KM HII SIJUI INATUSAIDIA NN. Si ajabu humu mtu akasifia mkinga kwa vile tu kabila lake lkn maisha yake hayajaguswa kwa namna yoyote na mkinga ila anaishi na na kusaidiwa na wasandawe, wamakonde nk.... NDIO KILA MTU ANAUHURU WA KUTOA MAONI YAKE LKN USHAMBA KM HUU SIJUI TUTAUACHA LINI? KATI YA MATAJIRI WATANO WAKUBWA TZ MBONA HAKUNA MCHAGA WALA MKINGA
maendeleo ulitaka yaletwe na nani kama sio viongozi, hao wabunge tumewachagua ili iweje sasa, ..we jamaa mzima ??