Influence ya Wachagga Vs Wakinga in Dar Es Salaam

Status
Not open for further replies.
Hawa wote Niko Nao na nimewatia mfukoni. Wote hakuna anayetafuta kihalali ni wezi na wachawi. Wanauchawi wa kihindi.
 
to the growth of dar city, what is their contributions?

Economically they provide employment to tanzanian na tunawaibia pia usisahau hizo pesa tunatumia kufanya mambo ya maendeleo kama kujenga nyumba na mambo mengine umenielewa sasa mkuu
 

Masharti Ya Kwa Mwakipande, Mseketwa Au Mwandulami Lazima Yazingatiwe. Reference Nzuri Ya Wakinga Rejea Kifo Cha Mmiliki Wa Wanyama Hotel
 
Tatizo la watanzania ni uvuvi na kuogopa kujitoa mhanga unapotaka kufanya kitu.... tofauti kati na Wakinga na Wachagga na makabila Mengine.. utabaki kuamini kuwa ni uchawi na ujambazi... watu wanapiga hela mjini.
kumbuka Wakinga wanatoka kawilaya kamoja tu Makete Vs WAchaga almost mkoa mzima wa Kilimanjaro ingekuwa ni kinyume chake basi ingekuwa balaa

Jaribu kuchunguza jinsi wanavyo anza kufanya biashara na hustle wanazopitia utagundua naamanisha nini...
Kama ni Uchawi Basi Watu wa Sumbawanga Ambako mnamininishwa kuna uchawi wa hali ya juuu wangekuwa list ya juu kwenye FORBES MAGAZINE
 
Sijaona comment za wengine ila kwangu mimi hayo makabila mawili siyakubali hata kidogo, wachaga biashara zao nyingi ni za ujambazi na hao wakinga wamemaliza ndugu zao kwa ajili ya utajiri.Kwa hiyo please sema makabila mengine eg Waha,Wasukuma etc ambao wanafanya biashara halali
 

Bongo muna ushindani huu wa kijinga wa Kikabila halafu mpo mbioni sana kunyooshea kidole nchi zingine.
CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kiwatengu wakinga kwa sasa wapo juu sana kariakoo, mpaka wachagga wanawakimbia kwa madai eti wanatumia dawa asili kufanya biashara, utawahurumia.

Ila wakinga ni wazee wa kupuliza..na pombe kwa saana!! Mcn u my richpol
 
Last edited by a moderator:

Mkinga ni bahili sio mchezo na anajituma no starehe,hapo lazima awe tajiri Wengi zinatuponza starehe ndio maana hatufanikiwi
 

Wakinga wamemaliza ndugu zao una uhakika?
Makete Ukimwi uliprevail we unasema ushirikina.
Wachaga mnasema ni majambazi huwa wananwibia nani?
 
mleta mada mbishi balaa.kaleta mada kwa mtindo wa swali ili ajibiwe lakini kila post inayojibu anapinga.jf bhana raha kweli.
 
Nenda Iringa mjini wahindi wamekimbia wote wameshindwa kufanya biashara na mkinga kisa ndumba waliobaki hawana kwa kwenda sasa wamehamia kariakoo soon wahindi wote +wachina wa maua watakimbilia Arusha chezea mkinga wewe "mkinga nilimkinga ila nilim born town"
 
Bongo muna ushindani huu wa kijinga wa Kikabila halafu mpo mbioni sana kunyooshea kidole nchi zingine.
CC: Geza Ulole kadoda11 Bulldog

taratibu mkuu,acha kulinganisha ukubwa wa bahari na ziwa.

ni ukabila gani wa wabongo uliotufikisha tukachinjana kama kenya ktk ile PEV 2007–08?.

ni ukabila upi uliotufikisha tz mpaka nafasi zote nyeti serikalini kukamatwa na watu wa kabila moja kama kwa serikali ya kenya na wakikuyu/kalenjin?.
 
Last edited by a moderator:

Umenena mkuu....hebu wajaribu kufuatilia jinsi hawa watu wanavyoendesha biashara zao...
 

Tatizo la watanzania ni "uvuvi" na kuogopa.....

mwee!,hizi "tachi sikirini" hizi siku hizi balaa kweli.teh teh
 
Mitaani tunaishi vizuri sana

Maofisini tupo poa

Sio sawa na nyie

kwani unadhani lawmaina78 hajui wabongo tunavyo kula bata pamoja ktk raha na ktk shida.anajua sana.ukabila wetu upo zaidi ktk utani tu.
kule kwao kuna bar/migahawa/club mkikuyu haingii kisa inamilikiwa na mjaluo and vice versa.
 
Last edited by a moderator:
Wakinga wamemaliza ndugu zao una uhakika?
Makete Ukimwi uliprevail we unasema ushirikina.
Wachaga mnasema ni majambazi huwa wananwibia nani?

Wewe acha kusingizia ukimwi ndugu yangu,Wakinga wana biashara za ndumba hilo lipo wala halina ubishi.Mchaga nae hata awe na biashara za bilions lakini hatulii kama asipomwibia mchaga mwenzake kwa njia ya ujambazi.Kama unafikiri nakutania angalia matukio ya maduka kuvamiwa utakuta ni ya akina Mushi, Massawe, Tarimo etc etc kwa kuwa wanafanya biashara za kudhulumiana.Angalia repoti ya matukio ya nyumba za watu Kimara na Mbezi zinazovamiwa ni za Wachaga kwa kuwa wanadhulumiana kwenye mambo ya ujambazi sasa wanalipiziana
 
kwani unadhani lawmaina78 hajui wabongo tunavyo kula bata pamoja ktk raha na ktk shida.anajua sana.ukabila wetu upo zaidi ktk utani tu.
kule kwao kuna bar/migahawa/club mkikuyu haingii kisa inamilikiwa na mjaluo and vice versa.

Huyu jamaa inaelekea ametokea kwenye inferior tribe ndo mana hajiamini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…